#COVID19 Booster vaccine ndio nini?

#COVID19 Booster vaccine ndio nini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naomba tu kuelimishwa maana halisi ya " booster vaccine" kwa wale waliochanjwa Astra zeneca

Ahsante kwa ushirikiano utakaoutoa.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Kwani na wewe umechanjwa?

Nchi hii wanaojua chanjo ni Gwajima na shemejii yake kawaulize
 
Naomba tu kuelimishwa maana halisi ya " booster vaccine" kwa wale waliochanjwa Astra zeneca

Ahsante kwa ushirikiano utakaoutoa.

Mungu ni mwema wakati wote!

Nadhani booster vaccine ni chanjo ambayo mtu uchanjwa baada ya kupata chanjo ya mwanzo.Hii uchajwa baada ya kirusi kubadilika badilika ili kukabiliana na aina mpya ya kirusi eg Delta ambacho mwanzo hakikuwepo.
 
Back
Top Bottom