D
DeletedMember281674
Guest
Kwa hili niwape kongole wazee wa geti jeusi wale wazee wa kitengo, huo ushauri mlioupa imekaa vizuri sana, maana Dunia haituelewi hadi muda huu, hata wafanyabiashara wa sekta ya utalii hawaelewi Nini kimetokea.
Embassies na High Commission zote nchini, tayari wameshatuma salamu kwenye nchi zao huko Kwamba nchi ya Wasiojulikana Ina ugaidi, na wengine wameenda mbali zaidi travelling to nchi ya Wasiojulikana is at your own risks.
Nawasilisha