D
MUNGU aturehemu, kama Rais tumepatikana na siyo tumepataAngekuwa na uwezo WA kupembua mambo hata kidogo tu angeshawafukuza kazi washauri wake siku nyingi sana
Utalii ndiyo kwishneee, labda Mzee wa Ufafanuzi aje atoe ufafanuzi kwa kifupi tumefikishwa pabaya SanaMungu akitaka kukupa anguko atakupa ndimi ya uchonganishi. Walianza kama utani wakasahau matokeo ya neno gaidi
Kombo anatumia mabilioni kusafisha na kupoza huko nje wenzake huku nyumbani wanakunya na kuharisha kabisa mitaani, what a contradiction!!Utalii ndiyo kwishneee, labda Mzee wa Ufafanuzi aje atoe ufafanuzi kwa kifupi tumefikishwa pabaya Sana
Waziri wa Mambo ya Nje ana kibarua kigumu Sana, ningekuwa Mimi ni Waziri Nje ningeandika barua ya kustaafu siyo ya kujiuzulu, maana kibarua alichonacho kwa Sasa ni kigumu mno
Astaafu au ajiuzulu kulinda heshima yake, maana wenzetu vyombo vya ujasusi HUWEZI kuwadanganya wakakuelewa wakati ukweli wote wanaujuaKombo anatumia mabilioni kusafisha na kupoza huko nje wenzake huku nyumbani wanakunya na kuharisha kabisa mitaani, what a contradiction!!
Hapo patamu kweli kweli, Tusubiri tuone, kesi imeshakuwa ngumu hii, kwa kweli Sasa hivi Ulimwenguni huko watu hawatuelewi kabisa.Kuna Ile msemo wa , Never negotiates with terrorists, si itakuaje kwenye maridhiano na magaidi
Hao geti jeusi wamefanya nini cha maana ?Kwa hili niwape kongole wazee wa geti jeusi wale wazee wa kitengo, huo ushauri mlioupa imekaa vizuri sana, maana Dunia haituelewi hadi muda huu, hata wafanyabiashara wa sekta ya utalii hawaelewi Nini kimetokea.
Embassies na High Commission zote nchini, tayari wameshatuma salamu kwenye nchi zao huko Kwamba nchi ya Wasiojulikana Ina ugaidi, na wengine wameenda mbali zaidi travelling to nchi ya Wasiojulikana is at your own risks.
Nawasilisha
Ugaidi una utamu wake kwa viongozi wa Tanzania.Kwa hili niwape kongole wazee wa geti jeusi wale wazee wa kitengo, huo ushauri mlioupa imekaa vizuri sana, maana Dunia haituelewi hadi muda huu, hata wafanyabiashara wa sekta ya utalii hawaelewi Nini kimetokea.
Embassies na High Commission zote nchini, tayari wameshatuma salamu kwenye nchi zao huko Kwamba nchi ya Wasiojulikana Ina ugaidi, na wengine wameenda mbali zaidi travelling to nchi ya Wasiojulikana is at your own risks.
Nawasilisha
Alitakiwa ajifukuze yeye Kwanza!Angekuwa na uwezo WA kupembua mambo hata kidogo tu angeshawafukuza kazi washauri wake siku nyingi sana