Bora asingejichubua, au mnasemaje?

Bora asingejichubua, au mnasemaje?

mi nakumbuka wa mwanzo kabisa alikuwa Mr. Blue akaja TID... waliofuata sasa network yangu chenga
Orodha ni ndefu sana iliyojaa watu mbalimbali maarufu hapa bongo wakiwemo waimbaji, waigizaji na wanasiasa, ila kwa uchache hawa wafuatao wanaelezwa kuwemo: Mr.Blue, TID, Kanumba, Jumbe, Diamond, H-Baba, Kapten Komba, Lundenga, Prezoo, Zitto, Ray, JB nk.
 
mr blue
jumbe teja
T.I.D
mimi
zitto kabwe
martin kadinda
mzizi mkavu
malaria sugu
pasco
 
View attachment 80768
Maana naona kama alivyokua mwanzo ilikua cute???

picha ya pili (mdada mwenye red) ni pacha wake Wema Sepetu, anaishi Texas, USA. walizaliwa, Wema (picha ya kwanza) katoka akiwa mwafrika na mdada wa pili akiwa mzungu!
halafu haka kabinti kama kangetulia kako bomba sana..basi tu. penye miti hakuna wajenzi!
 
Hivi kwa hatua hii aliyofikia,inawezekana kurudisha ngozi yake kuwa natural tena,au ndo imetoka hiyoo?
 
Back
Top Bottom