wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Sijui nani alimdanganya, dah!
Orodha ni ndefu sana iliyojaa watu mbalimbali maarufu hapa bongo wakiwemo waimbaji, waigizaji na wanasiasa, ila kwa uchache hawa wafuatao wanaelezwa kuwemo: Mr.Blue, TID, Kanumba, Jumbe, Diamond, H-Baba, Kapten Komba, Lundenga, Prezoo, Zitto, Ray, JB nk.mi nakumbuka wa mwanzo kabisa alikuwa Mr. Blue akaja TID... waliofuata sasa network yangu chenga
Mwajuma ndala ndefuHuyu ni nani?