Bora asingejichubua, au mnasemaje?

chezea ma obagi ya kina mama yutani... Ila Wema hapo amebugi meen.. Alikuwa cute and inocent in her maji ya kunde...
 
Wajameni,

kuna vitu vingine viwili vibaya kingine kuhusu hawa wadada wanaojikoboa.
1. Ladha ya kabla na ladha ya baada ni tofauti, ukipita kabla, utatamani kuendelea kupita, ukipita baada, hutamani kurudi tena, hivyo sasa kwa hali aliyonayo, hamtakaa msikie kuwa sasa ametulia na mtu!, watu watatamani kupita tuu shauri ya jina, na baada ya hapo, ni kanyaga twende, hawatarudi tena!.
2. Miili ya mkorogo, inatoa smell fulani ambayo siyo!, hata utumie perfum expensive kiasi gani, lile jasho la excitement wakati wa foreplay, kufuatia sebaceous glands kuwa tempered, zina secrete smell fulani awful inayoku put off mood, hivyo kupunguza enjoyment kunakopelekea umalizie tuu ili kutimiza wajibu na baada ya hapo, you'll need no more round, and never next time!, ukiondoka umeondoka!.

P.
 

Ulivoongea kwa uhakika..mmmh..kama umefanya research practikale...
Lkn kama tungekuwe na uwezo wa kurudi kam zamani bora angejirudisha
 
Huyu dada ni FUNGU LA KUKOSA...nadhani ana matatizo ya ubongo pia!
 
Ulivoongea kwa uhakika..mmmh..kama umefanya research practikale...
Lkn kama tungekuwe na uwezo wa kurudi kam zamani bora angejirudisha
It takes time kurudi kama zamani na akirudi atakuwa mweusi zaidi kuliko hata ile chocolate color yake!.
Ni kweli nimefanya ka research practical, ila sijapractice kama ukiacha na rangi ikirudi kama ladha inarudi!.

Hili la mabadiliko ya ladha, sio kwa dada zetu wanaojichubua tuu, bali hata dada zetu ngozi nyeusi, wanaoishi ulaya muda mrefu, ladha zinabadilika zinakuwa kama za wazungu!.

Pasco.
 



Hii nimeipenda sana mkuu, umeweka ukweli ulojificha ambao wengi utawachoma lakini ni ukweli ( wasipuuze kuhusu kupoteza ladha)

Maziwa ya ng'ombe wa kisasa na yale ya wakienyeji utapata majibu ( wale wakisasa wanapitia hatua nyingi na maziwa yao kiasi flani si kama ya wakienyeji)

Pia kuna ule mchele wa kutoka nje mweupe na unapendeza, lakini ukienda kwenye ladha baada ya mapishi haufuidafu kwa mchele wetu wa kienyeji

Mimi nakubalina na wewe Pasco 100%
 
Ukweli unabaki kuwa uzuri wa mwafrika unabaki akiwa kwenye asili yake lakini sio ya mchubuo
 
hapa mkuu Pasco umenena, mi kwanza huwa sina mzuka na wapaka mkorogo hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…