Bora asingejichubua, au mnasemaje?

"There're currently 2 users browsing this Thread....one human being(kui) and yo yo....lol!
 
Mbona hamumtendei haki Dada Siwema ups sorry Wema. Mnaowataja mnaanzia karibu mno, Hebu anzieni list ya tangu primary (11 yrs-12yrs).
 
Hivi kama akiacha hawezi kuirudisha ngozi yake kama ilivyokuwa??
Ila bado ni beautiful!
 

Aiseeh! Kumbe, lakini mbona wana soko?
 
ina maana hadi wabunge WANAWEMA labda ndo maana wanatoa changamoto bungeni
 
Kumbe huyu ni celebrit. Mmejaza thread kibao. Endeleeni kumfagilia!
 
akipita kwenye kigizagiza ajitahidi sana watu wajue ni yeye maana wachuna ngozi za albino watamtilia timu siku moja na baada ya kumkata kiganja ndo watagundua sio albino
 
Ingekuwa inawezekana kujibadilisha rangi ki haswa haswa basi huyu mtoto angejiweka mzungu, kwakua inaonaoesha kabisa kuwa haupendi u afrika anautukuza uzungu
 
Kaji Michael Jackson.... Poleni wenye mtizamo huo...
 
The girl with pig skin.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Muahieni jamani, kipendacho roho yake
 
Na m*ku*nd*u nao atauchubua

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Total Insecurity..nothing more, nothing less.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…