Wataachaje kampeni wakt wameshachukua ela za mabeberu kwa kuwadanganya kuwa wanakubalika na watashinda uchaguzi?
Inashangaza sana chama ambacho kinajinasibu kuwa kitashinda uchaguzi sasa unajiuliza inamaana chadema na usomi wao wanashindwa kujua huwezi kuunda serikali usipokuwa na wabunge wa kutosha au nia yao ni kupata Urais tu? Lissu ameshawadanganya mabeberu kuwa watashinda na ukweli Chadema wanajua kabisa hawana ubavu wa kushinda uchaguzi ndo maana kutwa Lissu anafanya visa ili tu mabeberu waone anaonewa kuwekewe vikwazo kwa taarifa yake tutawangalia tu wala hatumgusi ataguswa na box la kura pale atakapopata chini ya 5%
Chadema wamewekeza nguvu nying kwa nafasi ya Urais wameshindwa kujua wanatakiwa kuwa na wabunge wengi ambapo hata wasipopata urais wanaweza kubadili mambo mengi kikatiba kupitia wabunge wao