Point mkuuUnajua kuna mburura wengine bado hamjaijua siasa ya cdm.
Mfano,wagombea wengi hao unaodai wameenguliwa ni wagombea matapeli kweli kweli.
Wameweka vyao mfukoni wengine mara katekwa,kajisahaulisha makusudi kurudisha form fulan etc.
Tulia wewe! Lisu ana hamu na mafurikoKabisa Uzinduzi hauna maana kabisa
Kuondelewa kwa hila kivipi lini umesikia Chadema wana semina hata ya kuwafundisha wagombea wao kujaza form za uchaguzi au kuwaeleza wanatakiwa wafanye nini kuepuka mitego ya NEC ? Walishindwa nini kufanya hvyo ela za ruzuku zinafanya nn kwanini zisitumike kufanya hvyo? Acheni mambo yenu mmekosea kujaza maform then mnataka kuwapa lawama wengine .
Unajua kuna mburura wengine bado hamjaijua siasa ya cdm.
Mfano,wagombea wengi hao unaodai wameenguliwa ni wagombea matapeli kweli kweli.
Wameweka vyao mfukoni wengine mara katekwa,kajisahaulisha makusudi kurudisha form fulan etc.
Kiwashwe kibiriti tu basi, nchi ni ya wote kama hasara tupate woteWangesusia tu uchaguzi
Gifted fool at work.Wataachaje kampeni wakt wameshachukua ela za mabeberu kwa kuwadanganya kuwa wanakubalika na watashinda uchaguzi?
Inashangaza sana chama ambacho kinajinasibu kuwa kitashinda uchaguzi sasa unajiuliza inamaana chadema na usomi wao wanashindwa kujua huwezi kuunda serikali usipokuwa na wabunge wa kutosha au nia yao ni kupata Urais tu? Lissu ameshawadanganya mabeberu kuwa watashinda na ukweli Chadema wanajua kabisa hawana ubavu wa kushinda uchaguzi ndo maana kutwa Lissu anafanya visa ili tu mabeberu waone anaonewa kuwekewe vikwazo kwa taarifa yake tutawangalia tu wala hatumgusi ataguswa na box la kura pale atakapopata chini ya 5%
Chadema wamewekeza nguvu nying kwa nafasi ya Urais wameshindwa kujua wanatakiwa kuwa na wabunge wengi ambapo hata wasipopata urais wanaweza kubadili mambo mengi kikatiba kupitia wabunge wao
Mnahamasisha uasi kwenye keyboard lakini cha ajabu huna guts za kumkosoa hata mwananchi mwenzako in person
Ushahidi kuhusu hili. With supportive evidenceTaasisi aina ya saccos iliyowekwa mfukoni na mbowe.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Njoo PM nikupe.Ushahidi kuhusu hili. With supportive evidence
Nyie ndy mnaoshika ukuta kwa kichaa wetu, mnashabikia mpk upumbavuAhaaaa ahaaaa yaani nimecheka kwa nguvu mpaka mtoto wangu mdogo kaamka. Yaani kwenye kujaza fomu kuna mitego ya NEC! NEC nayo ni chama cha siasa mpaka iweke mitego kwenye fomu? Hapa ndio nimejua naongea na kilaza wa nguvu. Kaa kimya tu boss, hapa ni kama unafua shati jeupe na maziwa ukitegemea litan'gaa zaidi.
Hata mimi sifurahii uhuni wanaofanya maccm na wakurugenzi wa MagufuliHivi unafaidikaje na ufedhuli huu? Unaonaje raha katika haya?
ndugu mtoa mada, hoja yako haina mashiko, sasa waache kufanya kampen halafu inakuaje? hv una faham kama kampeni ni mwezi mmoja tu? kimsingi labda nikuelekeze kitu kimoja kinaitwa division of labour au mgawanyo wa majukumu sasa ni vyema wengine wangeendelea na kampen na wachache wafuailie hili swala lakin usiseme eti waache kupiga kampen, au ww makijani nn unataka kuwaingiza wenzio chaka? hv kwel kabisa unaongea toka moyoni unaona kama wasifanye kampeni? una hatar sana ndugu, binafsi napingana na wewe kwa 100℅
Mataga huyo wala hukuwa na haja ya kumjibuKuna team tayari imeundwa kushughulikia hilo tatizo mkuu ondoa shaka