Bora Corona iishe tugegedwe

Sina tatizo lolote kusema kweli. Wewe tu hujiamini


Wanawake wenye matatizo (Kisaikolojia) wako wa aina mbili, kuna wale ambao wanajua jinsi walivyo ila hawawezi kubadlika kutokana na sababu mbalimbali ikiwa pamoja na kukata tamaa kwani wameshakwenda mbali sana kiasi kwamba ni ngumu kurudi kawaida na aina ya pili ni wale ambao wana matatizo lkn hawajui na wanajiona wako sawa ila jamii iliowazunguka inawaona kwamba hawako sawa lkn wao wanafikiri jamii ndiyo ina matatizo ila wao wako sawa, ...
 
Wewe kachangie mambo ya chadema kule bna and stop being judgmental
Unawezaje kumuongelea mtu humjui
Mimi niko kwenye stable relationships,full of love and support sasa kukata tamaa kunatoka wapi .umesema sithamini mwili wangu ningekuwa sijithamini si ningekuwa nagegedwa ovyooo.
Niache bna
 
Nimesikitika sana kuhusu wew. Wew ni mmoja nilikuwa nakwelewa sana humu kwa kujitambua ila jambo la kumwambia mtu mafuta yako ni Ada ya mwanae ni kosa kubwa sana. Nawaza hapa wew huyo mwanae unajua anasoma shule gani?
 
Nimesikitika sana kuhusu wew. Wew ni mmoja nilikuwa nakwelewa sana humu kwa kujitambua ila jambo la kumwambia mtu mafuta yako ni Ada ya mwanae ni kosa kubwa sana. Nawaza hapa wew huyo mwanae unajua anasoma shule gani?
Kwaiyo Mimi kuambiwa mwili wangu huna thamani umeona ni dogo kuliko ada ya mwanae?
 
Kwani ulikuwa abused utotoni? Kwa maana wanawake waliobakwa au kuchezewa utotoni na Baba, Mjomba, Binamu na watu wengine ndio huwa wako hivyo, wanajiona kuwa hawana thamani na mwili wao, ...
Wew mbona una roho mbaya ulitamani lissu afe...je ulikaa na wazazi au walez wenye roho mbaya kama shetani kutaka mwenzio afe kissa anamkosoa baba yako....inawezekana umekulia mazingira ya mauji aka ya kishetani maana huna roho ya kibinadam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…