Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Una wivu sana .sex ni jambo la kawaida sana.tena ni ibada
Kwa nini unasema nina wivu? Nina uzoefu na mademu mbalimbali, nimeshakutana na mademu wengi wenye hulka na tabia tofauti tofauti, hivyo najua kutofautisha demu ambaye ana matatizo ya kisaikolojia na yule wa kawaida, ...