Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Acha tu FUTA litaisha ukiona USA/ITALY/BRAZIL wagonjwa wamekwisha kama wanaendelea kuugua basi hata kwetu TZ lipo ,Ona majirani zetu ngoma inavyoyoyoma PEAK ya Ugonjwa kenye ni Spetember kwahiyo idadi Kenya inazidi kuongezeka!!Mbona tutakoma sasa mzee baba?