Marwa Mbusiro
New Member
- Oct 12, 2018
- 1
- 4
Utatuumbua kwa kweli. Hivi mabeberu nao wanaunga juhudi za kusifia au nini? Sioni uhalisia.Uchumi wa kati!
Kabisa kabisa... Tuendelee shereheka.Uchumi wa kati!
Kweli kabisa... Wanasema "Cheap is Expensive".Siku zote vitu vya bure vina shida, wapenda vya bure wataendelea kusifia huo utaratibu!
Hujui maisha halisi ya watu masikini vijijini.Hivi unashindwaje kumhudumia mwanao kula shule hadi uje kulalamika humu, au ndiyo kampeni za michango zenu zilizopigwa biti na serikali?
Inatakiwaje labda?Hujui maisha halisi ya watu masikini vijijini.