Bora Elimu: Kwa njaa ya masaa 20, mtoto atafundishika darasani?

Bora Elimu: Kwa njaa ya masaa 20, mtoto atafundishika darasani?

Nadhani tatizo ni serikali na viongozi wenye dhamana.
Nchi hii haishindwi kutoa chakula kwenye shule zake.
Tuna bahari, mito na maziwa makubwa yenye samaki wa kutosha.
Tuna mbuga za wanyama na wanyama wa kila aina.
Uwekwe utaratibu mzuri wa kuvuna hao wanyama na samaki kisha wanakuwa wanasambazwa kwenye shule za serikali watoto wapate chakula.
 
Umemakaa kwa shemeji yako unaandika upupu tu,zunguka vijijini uone watoto wanavyoteseka
Tanzania vijini hakuna shida ya chakula labda uchague vyakula lakini kama nikula kinacho patikana hakuna tatizo la chakula Tz vijijini. Tanzania imebarikiwa aridhi yenyerutuba mihogo. viazi. mahindi. maharage. njegere. mtama. ngano. matuda ya kila aina mpunga. mbaazi. ndizi. magimbi. karanga. samaki. nk vyote vimejaa vijijini huko sema watu wanachagua vyakula ilo ndio tatizo na ukiona mtu anachagua chagua chakula jua ameshiba Tanzania haina sifa yakua na njaa ila ziada ya chakula
 
Back
Top Bottom