Bora kipi bunge la wasomi mafisadi au machawa wasio mafisadi?

Bora kipi bunge la wasomi mafisadi au machawa wasio mafisadi?

Jitafakari!!
Unachotakiwa kukijua ni kuwa maana ya siasa,kwa mazingira ya Africa na kiafrica na Kitanzania,kitanganyika ni kuwa siii hasaa,usemacho,unachoahidi,unachofanya haina maana ile uliyowaonyesha watazamaji ama wasikilizaji ama wafuasi.Hivyo kwa tafakari yangu ni kuwa wote ni upuuzi ambao haufai kuachiliwa kuendelea,hivyoni bora kubuni mfumo mwingine wenye kuleta ufanisi.
 
UKishakuwa chawa, huwezi kukwepa ufisadi. Yaani unakuwa ni mtu wa kung'ata na kupuliza. Unakula chako then unaingia mzgoni kumsifia mtawala, hakuna ufisadi mbaya kama kuagizwa kwenda kuwatumikia wananchi we ukaenda kumtumikia bwana.
 
Mkuu KWENYE machawa, baba levo mtoe namheshimu SANA, tangu SIKU ILE



Kwishaaaa
 
UKishakuwa chawa, huwezi kukwepa ufisadi. Yaani unakuwa ni mtu wa kung'ata na kupuliza. Unakula chako then unaingia mzgoni kumsifia mtawala, hakuna ufisadi mbaya kama kuagizwa kwenda kuwatumikia wananchi we ukaenda kumtumikia bwana.
Nani amewahi kuwa mbunge chawa?au hao wabunge wako wa siku zote inaowataka wewe wasio machawa wamelifanyia nini taifa hili?
 
Nani amewahi kuwa mbunge chawa?au hao wabunge wako wa siku zote inaowataka wewe wasio machawa wamelifanyia nini taifa hili?
Tulia wewe baba levo. Mbunge kama Aweso ndo wanaoelewa nini wanastahili kufanya siyo wewe chawa
 
Chawa anakuwaje sio fisadi ikiwa kitabia ni bendera fuata upepo?
 
Unaelewa naposema anawaza kula ninamaanisha nini next time uelewe mutu anavyoitwa chawa wafrani kaziyake inakua ni nini
Tatizo jf ni bure huwazi hata kidogo,hata huyo chawa mdudu anatafuta chakula kwa kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine hali bure bwana.

Fanyisha kazi ubongo wako acha UJUHA hakuna kiumbe kinachokula bure hapa duniani vinajishighulisha na kufanya kazi hata viwete wanafanya kazi,shithole wewe!!

Tumeona mara ngapi Baba level anasafiri ,anafanya matangazo kama balozi wa bidhaa na makampuni mbalimbali ,je anakula bure hapo?

Mwisho wewe usiye chawa una mshinda nini Baba kimaisha au unamtunzia familia yake?

Acheni kufuata mikumbo ya kijingajinga,ebo!!
 
Unaelewa naposema anawaza kula ninamaanisha nini next time uelewe mutu anavyoitwa chawa wafrani kaziyake inakua ni nini
Wewe siyo chawa wa aliyekuajiri?uchawa siyo ajira iwapoanaendesha maisha yake na familia yake au chawa anakumba wewe?
 
Unaelewa naposema anawaza kula ninamaanisha nini next time uelewe mutu anavyoitwa chawa wafrani kaziyake inakua ni nini
Acha ujinga na akili za kiafrikana KAZI ni KAZI bora uwe na BOSS anakulipa mshahara nyie ndiyo yale yanayotambua ajira ni serikalini tu i.e:ualimu,utendaji,nk.

Pimbi kabisa wewe,kwanini usife??
 
Unachekesha hebu nifafanulie neno CHAWA kitabia and not insects
Unatafasiri chawa kwa mihemko siyo kiuhalisia tumia fikira zaidi kupambanua mambo na achana na maana za makuzi ya mitaani na mihemko,maisha wanayoishi hao unawaowaota machawa kwa maana yako ni bora zaidi kuliko wewe na familia yako bora hata malaya wanaojiuza kwaajili ya familia zao wanaakili kuliko wewe na kundi lako
 
Back
Top Bottom