Mwalimu wa field
Member
- Jul 30, 2024
- 60
- 129
#usiue
#usikabe
#usipore
#usikabe
#usipore
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu jela niliwah kwendaUshawahi kwenda jela, ushawahi kuwauliza walioenda jela?
Bora uhuru mzee.
Basi kama ushawahi kwenda na unayatamani maisha ya jela, fanya chochoteMkuu jela niliwah kwenda
Ilikuaje mkuuKuna kipindi nilikua na mentality kama yako, huku na kule nikaingia mikononi mwa task force kesi sielewi nimeingiaje ilikua ujambazi wa kiasi kama 400M hivi, katika kesi nikaunganishwa na watu wengine kama 6 halafu ninaefahamiana nae mmoja tu na ndo peke ake tulitoka mkoa mmoja, hao wengine walitoka mikoa tofauti tofauti Tz. Nilikaa mahabusu zaidi ya mwezi, kile kipindi kilini humble mno, naishi low key kinomaa na naridhika na ninachokipata... uhuru ni kitu muhimu kuliko ambavyo unaweza kufikiria.
Pole sana dahKuna kipindi nilikua na mentality kama yako, huku na kule nikaingia mikononi mwa task force kesi sielewi nimeingiaje ilikua ujambazi wa kiasi kama 400M hivi, katika kesi nikaunganishwa na watu wengine kama 6 halafu ninaefahamiana nae mmoja tu na ndo peke ake tulitoka mkoa mmoja, hao wengine walitoka mikoa tofauti tofauti Tz. Nilikaa mahabusu zaidi ya mwezi, kile kipindi kilini humble mno, naishi low key kinomaa na naridhika na ninachokipata... uhuru ni kitu muhimu kuliko ambavyo unaweza kufikiria.
Stori ndefu kidogo chief, niko kwenye daladala nikitulia nitareply hapahapaIlikuaje mkuu
Kama hujawahi kuonja taste ya huko tafadhali funga mdomo wako. Jela za tz ni jehanam ndogo, huo uhuru unaochukulia poa, siku ukipelekws mle ndio utajua ni wa dhamani#usiue
#usikabe
#usipore
KICHWA CHA UZI NI KITUKO .....KWANINI USISEME BORA KUFIA JELA KULIKO KUISHI MASIKINI....#usiue
#usikabe
#usipore