ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Unakuta mtu anafanya kazi au biashara Kariakoo lakini anaishi Kibaha, Bunju, Kitunda, Vikundu, Vingunguti n.k ambapo ukimuuliza anakwambia kule vyumba bei nafuu labda elfu 50k, lakini ukimshauri alipie 200k chumba maeneo ya karibu labda Magomeni, Kinondoni, Fire n.k anakataa anasema ni gharama kubwa
Hapa mtu hapigi hesabu za nauli, usumbufu wa usafiri, anataka saa 9 kuanza safari kuelekea kazini, risk za hali mbaya ya hewa kama mvua na joto kali, risk ya usalama hapa vibaka n.k
Yote haya mtu yupo tayari kuyavumilia na kuyaishi kisa apate chumba bei nafuu
Binafsi huwa sielewi logic yao