Wateja tunakua forced.Naona sisi wateja ndio tuna lea huo upuuzi. Kama wangekuwa wanakosa wateja wasingekuwa wanaweka hizo Bei za kindezi ndezi...
Nilimtembelea mtu sinza....nilishangaa....Kodi 220k na ni single room. Kisa ni master na kitchen ya forgery maana ramani hai support. Hapo demand ni kubwa hata wakiweka regulator sidhani kama ataweza kunyoosha mambo...kwenye kuuza plots ndio kuna uozo kabisa...viwanja vya sqm 200 ...ni kuongeza squatters tu.
Ana mashine moja Landcruser yule mshenzi iko speed anasema anatumia 35 min kufika mjini na kurudi ni hivyoKhaa, Buyuni ni mbal knomaa
Hapo umezingatia pesaPosta to Kibaha
M/Kasi hadi Mbezi - 1500 (kwenda tu)
Daladala Mbezi to Kibaha 1500 (kwenda tu)
Kwa siku 22 za mwezi (Mon-Frid)
= 22 x 3000 x 2 = 132,000 kwa mwezi.
Safari nzima approximately 2 hours.
Kodi Kibaha analipa 100k
Jumla 230k
Kama anapata chumba cha 300k/mwezi walking distance, naunga mkono.
[emoji23]Kuna mtu wangu mmoja anakaa Buyuni Kigamboni huwa simuelewi kabisa na kila siku anawahi ofisini
πππππKuna mtu wangu mmoja anakaa Buyuni Kigamboni huwa simuelewi kabisa na kila siku anawahi ofisini
Nakuelewa sanaNaweza sema kila mtu na hitaji lake au maamuzi yake juu ya hili.
Wakati najiunga chuo, sehem zilizo karibu na campus bei juu, kunae mtu akanishauri niende pembeni kabisaa, kwa kuwa kuna unafuu, nikachanganua akili kwa weredi, nikakuta kias kinachopungua ni 60k kwa mwezi, nikawaza je usumbufu wa usafiri? Siku za kuwahi class? Mvua kubwa? Nkaona 60k sio kitu, nkakaa karibu na campus, natembea kwa mguu, dkk 15 niko getini kwa chuo.
Hadi nikahitimu chuo, nilitoka pale sehem, na nkasogea pembeni sio mbali kivilee.