Bora kuishi karibu Kwa Kodi kubwa, ama mbali Kwa nauli kubwa

Sasa vingunguti na kkoo kuna umbali gani na wewe??
Ila hoja yako ina mashiko, past 3 month nilikuwa na kimeo Victoria nikapata eneo la kukaa Mwananyamala, nili enjoy sana, dk 5 nyingi nishafika kazini.
 
Watu wa Kimara hao, anashuka Kituo suka, anaenda sehemu inaitwa Kwa bodyguard wa mkapa, mbali kinoma, nauli 2000 kwa pikipiki
 
Vingunguti to kkoo ni mbali?? Au sijui umbali unaanzia km ngapi, nipe elimu


Nb: SIKAI VINGUNGUTI😎
 
Regulation labda wakomae kwa madalali, maana hao ndo hawana akili.
 
Bora karibu kwa bei ya juu...., kuna mateso napitia kwa sasa kuishi mbal na job
 
Vingunguti mpaka Kariakoo hapazidi kilometa 10. Kitunda - Kariakoo ni kilometa 14 na unapanda basi moja tu. Huwezi kulinganisha na mtu anayetokea Mwandege ama Bunju. Back to the topic, kodi za 300k za Sinza ana Kijitonyama ni chumba kimoja. Lkn huku nje ya jiji unapata nyumba nzima i.e. vyumba viwili na sebule kwa bei hio. Na unapanda basi moja tu (700) toka kwako mpaka kazini. Kwa hio ni maamuzi ya mhusika.
 
Ana mashine moja Landcruser yule mshenzi iko speed anasema anatumia 35 min kufika mjini na kurudi ni hivyo
Km anaingiza za kutosha fresh tuu, mana km ana cruza na anatumia 35min to town bc ht wese analotumia sio la kitoto, me napoish ni kama km 15+ to buyuni na natumiaga 45min to 1hr kufika town
 
Wengine tunatokea.chalinze to city centre hapo vipi
 
Dalali yupo katika mawindo yake

Ushapata wateja wangapi mpk sasa waje kuhamia magomeni kanisani?
 
Dalali yupo katika mawindo yake

Ushapata wateja wangapi mpk sasa waje kuhamia magomeni kanisani?
Kuwa na adabu kijana
Me ni mkulima na huu ni msimu wa maharage na kahawa, nitakuwaje dalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…