Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 884
- 376
Guardiola alimpenda sana afelllay ila dogo alikuwa anaumia sana. Kumbuka nusu fainal uefa 2009 alitoa assist kwa messiAffellay alikuwa na kiwango kizuri sana,alienda Barca kipindi kibaya cha Guardiola ambaye alikuwa na mahaba na wazawa wa catalunya,kuliko wachezaji kutoka nje ya catalunya naamini angeenda timu zingine angewika sana....nina hakika maneno yake anayakumbuka mpaka kesho...
Fabregas hapa hawezi kukubaliana nawe, Suarez ni mapema mno kuweza kuhitimisha kama maamuzi yake ya kuondoka L'pool yalikuwa sahihi au la, lakini kwa kipindi hiki kifupi tunaweza kusema alikuwa bora zaidi alipokuwa L'pool nani. Nani anahesabu assists banaa!!! Si mbaya kuwa nazo lakini mcheza yeyote mwenye hadhi ya Suarez anapenda kuzifumania nyavu ikiwezekana katika kila mechi na kupenda kufanya hivyo angalau mara mbili au zaidi.
Unatumia ubongo wa ronaldo, kutembea na kioo, maboda vyanuo alimuradi uonekane. Ndio maana anakasirika asipopewa pasi na bale, hizi ni akili za issis
Fabregas hapa hawezi kukubaliana nawe, Suarez ni mapema mno kuweza kuhitimisha kama maamuzi yake ya kuondoka L'pool yalikuwa sahihi au la, lakini kwa kipindi hiki kifupi tunaweza kusema alikuwa bora zaidi alipokuwa L'pool nani. Nani anahesabu assists banaa!!! Si mbaya kuwa nazo lakini mcheza yeyote mwenye hadhi ya Suarez anapenda kuzifumania nyavu ikiwezekana katika kila mechi na kupenda kufanya hivyo angalau mara mbili au zaidi.
Fabregas hapa hawezi kukubaliana nawe, Suarez ni mapema mno kuweza kuhitimisha kama maamuzi yake ya kuondoka L'pool yalikuwa sahihi au la, lakini kwa kipindi hiki kifupi tunaweza kusema alikuwa bora zaidi alipokuwa L'pool nani. Nani anahesabu assists banaa!!! Si mbaya kuwa nazo lakini mcheza yeyote mwenye hadhi ya Suarez anapenda kuzifumania nyavu ikiwezekana katika kila mechi na kupenda kufanya hivyo angalau mara mbili au zaidi.
EDO: kutoka kuwa mfungaji hodari, mpaka kuwa mkumbatiaji wafungaji hodari!
Alikuwa anamzungumzia Luis Suarez!
Suarez kwani amepelekwa kufunga ama kutoa assist, kwa taarifa yako alivokuwa Liverpool angekuwa ni mtu wa kutoa assist bila kufunga Barca wasingemfuata.Ulishasikia mtu anapata kiatu cha dhahabu kwa kutoa assist?Hayo yalikuwa maneno ya Ibrahim afellay akielezea furaha yake ya kuwa barca.
kazi ya foward ni kufunga au kutoa assist.
Suarez hafungi sana lakini ametoa assist nyingi.
Kuna umuhimu gani wa kula liver unafunga magoli 31 afu huchukui kombe au uende arsenal kucheza bila kupata vikombe.
BORA KUKAA BENCHI BARCA KULIKO KUCHEZA ARSENAL
Suarez alikaa nje miezi 3 pale Barca na ni mchezaji mpya kabisa na ameenda ktk timu inayotumia style ambayo hajawahi kuicheza maishani mwake.
Suarez kajitahidi sana tena zaidi ya sana, Amescore kadhaa na ametoa Assist nzuri tuu, nani mwingine alivoenda Barca ana matokeo mazuri kama Suarez?
Hayo yalikuwa maneno ya Ibrahim afellay akielezea furaha yake ya kuwa barca.
kazi ya foward ni kufunga au kutoa assist.
Suarez hafungi sana lakini ametoa assist nyingi.
Kuna umuhimu gani wa kula liver unafunga magoli 31 afu huchukui kombe au uende arsenal kucheza bila kupata vikombe.
BORA KUKAA BENCHI BARCA KULIKO KUCHEZA ARSENAL
Kucheza bila ya kun'gata mtu!style ipo hiyo AMBAYO Suarez hajawahi KUCHEZA maishani Mwake?
Mbona Neyma nae alikuwa mpya na mbaya zaidi aliekuwa ametokea bara tofauti ila anafunga na anatoa assist.So hiyo issue ya kusema eti Suarez ni mchezaji mpya katika timu inayotumia style tofauti sikubaliani nayo.Mbona alivokwenda Liverpool alifika na kufunga ina maana hakuwa mgeni na pia Liver ilikuwa haitumii style tofauti? Cha msingi ni kwamba zama za Suarez zinaweza zikawa ndo zinaishia ukingoni kama zilivoishia ukingoni kwa Torres alivotoka Liver anafunga na alivokwenda Chelsea akawa galasaSuarez alikaa nje miezi 3 pale Barca na ni mchezaji mpya kabisa na ameenda ktk timu inayotumia style ambayo hajawahi kuicheza maishani mwake.
Suarez kajitahidi sana tena zaidi ya sana, Amescore kadhaa na ametoa Assist nzuri tuu, nani mwingine alivoenda Barca ana matokeo mazuri kama Suarez?
style ipo hiyo AMBAYO Suarez hajawahi KUCHEZA maishani Mwake?
Mbona Neyma nae alikuwa mpya na mbaya zaidi aliekuwa ametokea bara tofauti ila anafunga na anatoa assist.So hiyo issue ya kusema eti Suarez ni mchezaji mpya katika timu inayotumia style tofauti sikubaliani nayo.Mbona alivokwenda Liverpool alifika na kufunga ina maana hakuwa mgeni na pia Liver ilikuwa haitumii style tofauti? Cha msingi ni kwamba zama za Suarez zinaweza zikawa ndo zinaishia ukingoni kama zilivoishia ukingoni kwa Torres alivotoka Liver anafunga na alivokwenda Chelsea akawa galasa
Tiki taka, unaijua?