Bora kukaa Benchi Barca kuliko kuhama

Bora kukaa Benchi Barca kuliko kuhama

"I came here to score goals, not only to makes passes for others to score," Suarez said last week in an interview with Barcelona newspaper Sport. "If I came here it's because I have scored many goals in my career and, above all, in Liverpool." -

HIVI KUFUNGA MAGOLI 50 AFU UNAPEWA kiatu cha ufungaji bora afu timu haipati kombe,huo ni ujinga. Suarez ana miss nafasi kutokana na kuwa na pressure yakutaka kuafanya kama alivyokuwa liverpool. ukiwa na striker anakuwa ana kazi mbili KUFUNGA AU KUTOA ASSIST. Kwenye la liga ndani ya Mechi 14 kafunga maGoal 4 Na assist 8. ikiwa na maana kajihusisha katika magoli ma nne. MSimu wa kwanza liver alifunga magoli ma 4 tu katika mechi 13.

Luis Enrique: "Suarez? He adds a lot, his number of assists is spectacular... Scoring goals is not the only thing that matters for forwards"
 
"I came here to score goals, not only to makes passes for others to score," Suarez said last week in an interview with Barcelona newspaper Sport. "If I came here it's because I have scored many goals in my career and, above all, in Liverpool." -

not only inaamanisha kuwa ana kazi mbili. kufunga au ku assist
 
Soma tena uelewe kwamba hakuchukuliwa toka UK kwa ajili ya assists bali kwa ajili ya kufunga magoli na magoli mengi. Umeshawahi kusikia timu imemchukua mshambuliaji kwa sababu ana assists nyingi!?

kufunga kafunga ila magol ni machache kuliko assist
 
By Miles Chambers

Dec 9, 2014 10:51:00

The striker says he enjoys helping out his new team-mates in Spain but that his focus - and reason for being at Camp Nou - is to be the man to find the back of the net

ozil to arsenal and fab to chelsea.
 
Kuna article kwenye gazeti nilisoma kama mwezi hivi umepita. Article hii ilikuwa inazungumzia uchezaji wa Suarez baada ya kuhamia BARCA na kutoweza kuzifumania nyavu kama alivyokuwa L'pool, nitaitafuta nikiipata nitaiweka hapa. Mchezaji wa mstari wa mashambulizi wa timu yoyote ile duniani hajioni bora kwa kutoa assist nzuri au nyingi na wala hakumbukwi na wapenzi na washabiki kwa kutoa assist bali kwa kuzifumania nyavu, kama Suarez ataendelea kuzifumania nyavu kwa nadra ukilinganisha na alipokuwa L'pool akiamua kufunguka na kuwa mkweli wa nafsi yake basi atasema his decision to leave L'pool was a big mistake.
Mkuu kaka BAK sikubaliani na wewe kwamba Suarez kuondoka Liverpool lilikuwa kosa kubwa kisa hafungi labda useme kwenda barca ndo imekuwa kosa kubwa .

Kwanini nasema hivyo?

Sababu sio kweli kwamba suarez hafungi huko ..anafunga but sio kwa rate zile za Liverpool but Suarez kuwa barca kumemfanya kujifunza mambo mengi sana na amepata faida ya kubeba vikombe mbali mbali ikiwemo champions league kitu ambacho angekuwa Liverpool kukipata ni ndoto maaana ni team average huwezi kuiweka kwenye mzani mmoja na barca.

Kuna wakati vikombe ni muhimu zaidi kuliko kufunga sanaaaa na hilo kalipata akiwa barca .

Amejiwekea historia katika maisha yake ya soka kushinda vikombe mbalimbali na medalj mbalimbali akiwa na klabu kubwa .

Kwa atakapotosheka anaweza kutafuta mahali pa kwenda sasa akafunge idadi ya magoli anayotaka .

Magoli mengiiii bila vikombe muhimu ni sawa na bao la mwanaume bila mimba .

[emoji3] [emoji119] [emoji120]
 
As such,ni kweli kwamba Suarez kashuka kiwango kwenda Barca AU kwa sasa ndio hitman numero one duniani???
I dont call him number one, coz he isnt, lakin kawa one of the best, nadhan Edo haki foresee, mafanikio ambayo Luis angepata, ukizingatia eashambuliaj wengi wa kaliba yake walishindwa kufanya vzuri pale.
 
Hujanielewa nilichoandika. Nisome tena Mkuu.

Mkuu kaka BAK sikubaliani na wewe kwamba Suarez kuondoka Liverpool lilikuwa kosa kubwa kisa hafungi labda useme kwenda barca ndo imekuwa kosa kubwa .

Kwanini nasema hivyo?

Sababu sio kweli kwamba suarez hafungi huko ..anafunga but sio kwa rate zile za Liverpool but Suarez kuwa barca kumemfanya kujifunza mambo mengi sana na amepata faida ya kubeba vikombe mbali mbali ikiwemo champions league kitu ambacho angekuwa Liverpool kukipata ni ndoto maaana ni team average huwezi kuiweka kwenye mzani mmoja na barca.

Kuna wakati vikombe ni muhimu zaidi kuliko kufunga sanaaaa na hilo kalipata akiwa barca .

Amejiwekea historia katika maisha yake ya soka kushinda vikombe mbalimbali na medalj mbalimbali akiwa na klabu kubwa .

Kwa atakapotosheka anaweza kutafuta mahali pa kwenda sasa akafunge idadi ya magoli anayotaka .

Magoli mengiiii bila vikombe muhimu ni sawa na bao la mwanaume bila mimba .

[emoji3] [emoji119] [emoji120]
 
I dont call him number one, coz he isnt, lakin kawa one of the best, nadhan Edo haki foresee, mafanikio ambayo Luis angepata, ukizingatia eashambuliaj wengi wa kaliba yake walishindwa kufanya vzuri pale.
When it comes to forcing the ball in the net,he has no peer in world soccer-just give him a sniff, and the net will bulge.His type are a dying breed
 
Back
Top Bottom