musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Sasa msiba unachangia kwanini wakati mtu keshakufa? Tena wakati mwingine kwa kukosa hela ya matibabu!Mimi kwangu cha muhimu kuchangia ni msiba. Harusi na mahari sijawahi kuvipa kipaumbele.
Ikitokea nimekuja kuoa nadhani harusi yangu haitokua na michango, itakua simple tu. Ndugu na jamaa wachache wa kufurahi nao kwa masaa kadhaa basi. Bajeti ya 2-3mil from my pocket imeisha hiyo.
Kuna jamaa yangu mpaka sasa hatusemeshani. Tulikua marafiki chuoni. Yeye kaoa mwezi wa tano, bahati mbaya alifanya siri sikujua mapema kua anaoa. Kaja kunipa kadi ya mchango imebaki wiki moja afunge ndoa, tena kaweka na kiwango kabisa nichangie laki. Sikuchangia kwavile nilikua nimetingwa na majukumu mengine. Hivi sasa akiniona njiani anabadilisha njia. Dah!
Yote kwa yote ni muhimu kumchangia mtu hasa mgonjwa au yoyote ambae yupo ktk matatizo. Lakini kuna misiba inatokea bila kuuguza, jirani anafiwa na mtu wake wa karibu kifo cha ghalfa kwa ajali au kuna wanaougua asubuhi mchana amefariki (hapo ndio point yangu ilipo).Sasa msiba unachangia kwanini wakati mtu keshakufa? Tena wakati mwingine kwa kukosa hela ya matibabu!
Yaani mi nachangia matibabu ya mtu mwenye uhitaji wa kutibiwa na hana uwezo!
Ila habari za sherehe, harusi nk watanisamehe bure. Tena kwenye msiba ndio kuna maswali mengi khs hiyo michango. Kwani wakienda kuzika na kuondoka bila kula kuna tatizo?
Kila mtu apambane na hali yakeSio vizuri kuomba omba kwa mambo uliyoyapanga mwenyewe tena na tarehe unaijua ya tukio
Ni wajibu kuchangia matatizo kama misiba,magonjwa ajali nk...kwa sababu hakuna mtu anapanga au hujiombea hayo japo yapo kwa kujitakia
Lakini kawaida watu husema huwa sheria...tuna desturi ya kuchangia mambo ya kushereheka kama harusi...Send off nk
Je si muhimu kumchangia mtu alie au anae hiari kwenda katika hatua nyingine ya kuwajibika kwa maana ya kuwa na familia...nikimaanisha MAHARI/MAHALI halafu hayo mengine tukamuachia yeye mwenyewe?
imagine mtu anakununia kisa kabajeti pesa yako ya mfukoniMimi kwangu cha muhimu kuchangia ni msiba. Harusi na mahari sijawahi kuvipa kipaumbele.
Ikitokea nimekuja kuoa nadhani harusi yangu haitokua na michango, itakua simple tu. Ndugu na jamaa wachache wa kufurahi nao kwa masaa kadhaa basi. Bajeti ya 2-3mil from my pocket imeisha hiyo.
Kuna jamaa yangu mpaka sasa hatusemeshani. Tulikua marafiki chuoni. Yeye kaoa mwezi wa tano, bahati mbaya alifanya siri sikujua mapema kua anaoa. Kaja kunipa kadi ya mchango imebaki wiki moja afunge ndoa, tena kaweka na kiwango kabisa nichangie laki. Sikuchangia kwavile nilikua nimetingwa na majukumu mengine. Hivi sasa akiniona njiani anabadilisha njia. Dah!
Kabisa waje wamekula...tena wengine wanatoka jirani kabisa[emoji23]Sasa msiba unachangia kwanini wakati mtu keshakufa? Tena wakati mwingine kwa kukosa hela ya matibabu!