musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
- Thread starter
- #21
Utasikia kwani hana ndugu[emoji23]Hii mambo ya michango ya maharusi tumeitaka wenyewe watz unajua wabongo tunapenda sifa sana mtu anajikuta anapenda kutoa michango mikubwa kwenye masherehe kwa sababu ya misifa aonekane kuwa ana fedha sasa kimbembe apo aombwe mchango wa mgonjwa unaweza ata asitoe