Bora kumchangia mtu Mahari au harusi?

Bora kumchangia mtu Mahari au harusi?

Hii mambo ya michango ya maharusi tumeitaka wenyewe watz unajua wabongo tunapenda sifa sana mtu anajikuta anapenda kutoa michango mikubwa kwenye masherehe kwa sababu ya misifa aonekane kuwa ana fedha sasa kimbembe apo aombwe mchango wa mgonjwa unaweza ata asitoe
Utasikia kwani hana ndugu[emoji23]
 
Kuna ndoa na harusi....

Mimi ni aina ya watu ambao sio ma complicater....

Nilicho jifunza wanawake wengi Wana dream za kuvaa shela na show off za harusi approximately 99%

Sijawai kua na ndoto za sherehe sherehe...Kuna watu yaan graduation ya mtoto wa kindergarten wanafunga mtaa, birthday party ndio usipime....

Kwanza sipendi michango...mitazamo yangu ipo tofauti sanaa....kuhusu Ndoa,Harusi
 
Sasa msiba unachangia kwanini wakati mtu keshakufa? Tena wakati mwingine kwa kukosa hela ya matibabu!
Sababu kuu ni kuwa Msiba ni Emergency,,, yaani hauna taarifa,,, so wahusika kwa wakati huo wanaweza wasiwe vizuri,,, ndio maana watu wanatoa RAMBIRAMBI.... Ule sio mchango ni rambirambi...

Na sio lazima fedha,,, unaweza saidi lolote utaloona litafaa kukamilisha zoezi la mazishi... Iwe usafiri, chakula,,n.k..

BUT sababu huwa ni sio tukio la kupangwa,,, ni huja Ghafla... na aliyekufa hawezi Jizika..
 
Inabidi Mahari wakutolee/wakuchangie wazazi wako maana unaenda kuendeleza ukoo wao na sio kuchangiwa na watu baki.
 
Back
Top Bottom