Bora kura za maoni CCM wapige wanachama wote sio wajumbe tu

Bora kura za maoni CCM wapige wanachama wote sio wajumbe tu

chamaclotus

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,166
Reaction score
2,416
Ndugu wana JF,

Haya mambo ya wajumbe CCM naona itakuja kuleta shida huko tuendako. Wajumbe wanataka rushwa na wanaweza kuleta mtu ambaye wanachama hawamtaki.

Pia kumekuwepo na chuki miongoni mwa wajumbe. So mimi naona bora wanachama wote waruhusiwe kupiga kura za maoni.
 
Wajumbe noma sana!


Toka zoezi la kutangazwa majina likamilike wanaishije vikundi vikundi kumsubiria mgawa rushwa na chawa wao.


Takukuru ipo na taarifa zote.
 
Wajumbe noma sana!


Toka zoezi la kutangazwa majina likamilike wanaishije vikundi vikundi kumsubiria mgawa rushwa na chawa wao.


Takukuru ipo na taarifa zote.
TAKUKURU imeppata tafsiri mpya. Ni
TAasisi ya KUzalisha na KUkuzia RUshwa.
 
Back
Top Bottom