Bora kusoma chuo kizuri au kozi nzuri

Mkuu heri usome chuo kizuri hata kama kozi ni sociology, kuliko kusoma vyuo mbuzi, mfano mimi huwa hadi nahisi njaa na kupiga mihayo pale naposkia eti mtu anasema anasoma sjiui sekuko, josia kibira mara mwenge du! Jamani ngoja niishie hapa.
 
Tumia akili mkuu,mimi nadhani waliohumu wengi wanajitambua.....miaka 3,4,au 5 ni michache sana usimshauri mtu akasoma UD coz ya kiji.....a eti kisa na yy aonekane yupo UD wakati baada ya chuo kuna lyf linamngoja sasa hapo utaona mtu anahangaika miaka na miaka tena kozi yenyewe hawezi hata kujiajiri,next comment tumia busara
 
Na ww mtoa thread kaulize nini maana ya faculty.....na uambiwe inatofauti gani na course....then chunguza swali lako
 
nisaidieni kwenye hilo swala wakuu 🙂

Mkuu, Ni bora usome faculty/kozi nzuri, chuo kizuri it doesn't matter ni chuo gani hata kama ni cha "TUPO GHOROFA YA 3, KORIDO LA KUSHOTO". Na tukitafuta maana ya fuculty/kozi nzuri kwa sasa, asilimia kubwa italalia kwenye zile wakuu wa kaya "serikali" wanazo ziita "NATIONAL PRIORITY" kwa sasa!!!!. Au wakuu mnasemaje???
 
Mkuu heri usome chuo kizuri hata kama kozi ni sociology, kuliko kusoma vyuo mbuzi, mfano mimi huwa hadi nahisi njaa na kupiga mihayo pale naposkia eti mtu anasema anasoma sjiui sekuko, josia kibira mara mwenge du! Jamani ngoja niishie hapa.

we uko chuo gani kijana?
 
Bora corse nzuri kwenye chuo kibaya kama sauti kuliko usome licorse libaya ambalo ukiulizwa hata ulisomea nini unashindwa kusema unabaki kusema ud nilisoma ud na ud ndiyo wanaongoza kuwa na makozi ya kijinga mara sijui fisharazi science au food engineer mara sijui textile science mara sport and physical exercse science, acturial science, b.a culture history managment bora usom hata saut au toefilo kisanji corse ya maana
 
unaifaham acturial science ww??
 
Na ww mtoa thread kaulize nini maana ya faculty.....na uambiwe inatofauti gani na course....then chunguza swali lako

Hahahahhhaaa we jamaa umemwamulia course inakua ndani ya faculty bana hahaha harafu huu mjadala hauna majibu kamili maaana hakuna research au literature rewiew ya hili swala la faculty na chuo relation yake
 
Inategemea na definition yako ya kozi nzur na chuo kizur.... Tanzania nowdays ni technical know whom ... Hata ukisoma kozi nzur au chuo kizur nonsense ..whatever yo studying try to be smart...both school smartness and street smartness (connection matters) Otherwise utasugua sanaaa
 
unaifaham acturial science ww??

kozi gani hiyo haifahamiki inaweza ikawa na content nzuri lakini jina lake baya, haifahamiki ukitaka kumueleza mtu lazima utumie muda mwingi sana eeeh unajua hii mzee ni statistic sijui socio protection
 
asiyejua maana.....
 
Bora kozi nzuri kwenye chuo cha hovyo,mfano medical doctor ni medical doctor tu,awe wa IMTU au MUHAS,,kwa hivyo unaona course ndio inambeba mtu

Kwa upande mwingine,kozi zingine inategemea na chuo,Bpharm ya MUHAS haiwezi kulingana na ya St. John

Haipo general kiasi hicho.
 
Mkuu heri usome chuo kizuri hata kama kozi ni sociology, kuliko kusoma vyuo mbuzi, mfano mimi huwa hadi nahisi njaa na kupiga mihayo pale naposkia eti mtu anasema anasoma sjiui sekuko, josia kibira mara mwenge du! Jamani ngoja niishie hapa.

mtazamo wako
 
soma faculty nzuri achana na majina ya vyuo education ya teku sawa na udsm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…