"Bora msagaji kuliko mume wangu"

Sense
 
Kusagana ni tabia mbaya sana haina tofauti na kufanya mapenzi kinyume cha maumbile..nadhani dunia ndo inaishia..yote yalitabiriwa..na bible

Kufananisha msagaji na hao wase.. ni vitu viwili tofauti. Msagaji anatumia sehemu ileile. Ila anakuwa na ujuzi zaidi na zana zinazofanana na maumbile ya kiume (kama anazo) sasa wanafananaje hao wanaotumia mapenzi kinyume na maumbile? Kuna baadhi ya wanaume wakubali tu kazi hawaiweize ipasavyo. Utasikia mwanaume nasema “unajua wewe mtamu sana ndio maana nimemaliza mapema” Na hiyo hli inajirudia mara kwa mara. Baadhi ya wanaume kubalini tu kimoyomoyo game inawashinda
 
Ukimshika tu mwanamke anateleza kama samaki , ngozi ya asili hsna imebaki kutoa harufu.. Hiyo round ya pili unatafuta nini?
 
Sasa utfautishe Kati ya kumridhisha mwanamke na kumchosha...
Ndo kinachowaponza! Wanadhani kupiga magoli mengi au kupump kwa nguvu ndo kumridhisha mwanamke! Wasagaji wanaelewa nini mwanamke anachotaka ndo mana mwanamke akinasa tu hachomoki!
 
Ndo kinachowaponza! Wanadhani kupiga magoli mengi au kupump kwa nguvu ndo kumridhisha mwanamke! Wasagaji wanaelewa nini mwanamke anachotaka ndo mana mwanamke akinasa tu hachomoki!
Mmhh! Nimeisha kuelewa why unatetea haya??? Shame on you all women..! May God have mercy you..
 
Magu kafanya wanaume kujaa stress na kushindwa kutekeleza majukum yao
 
shetani huyoo
 
Ndo kinachowaponza! Wanadhani kupiga magoli mengi au kupump kwa nguvu ndo kumridhisha mwanamke! Wasagaji wanaelewa nini mwanamke anachotaka ndo mana mwanamke akinasa tu hachomoki!
Mi nasomaga story za humu naishiaga kusikitika tu....!!!Sijui Nani kawafundisha tunataka kukomolewa ukitoka hapo uchechemeee!!
 
Saidia jeshi la police popote nchini ukiona au ukibaini mtu au watu wanashiriki au wanajohusisha au kushabikia mahusiano ya jinsia moja bac toa raarifa mara moja katika kituo ambacho kiko karibu nawe.[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Inawezekana hawana kazi yoyote ile inayoshughulisha akili yao ukiondoa mambo ya mapambo,umbea etc.
Wanaume wao kutokana na hali ngumu inayokabili jamii yetu inabidi wahangaike muda mrefu ili kusawazisha mambo nyumbani. Matokeo ya hali hii, wengi wao wakirudi nyumbani wanakuwa hoi physically na psychologically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…