"Bora msagaji kuliko mume wangu"

Acha wafanye yao, nijichoshe mabao3 daily na kazi yangu kubeba mizigo unadhani nitawezaje? Na nikishindwa kazini hamna chapaa unadhani atakulaje maisha gharama si atatoka kisingizio siachi hela ya matumizi nataka kutunzwa km jike! Fanya vyovyote kutoka atatoka na lawama palepale! We kausha acha asagwe akichoka ataacha..
 
Punguza jazba mkuu
 
huyo atakuwa amezoea kusagwa hadi m.b.o.o anaiona papuchi..
 
Tatizo ni wanaume kupungukiwa nguvu za kiume au ni wanawake kuzidiwa na nguvu za kike?!!! Nadhani tatizo liko pande zote mbili. Wanawake wa siku hizi wanaume inabidi kujipanga haswaaa maana ashiki zimewazidi hawa wanawake.

hahaha mkuu umenifurahisha, umejaribu kubalance
 
Wanawake wanalalamika mno. ukimkuta anayesuguliwa sana atakuja hapa aseme anatafuta mwenye hela, ukimkuta ambaye hasuguliwi sana atakuja hapa anataka wa kumsugua. Huu nauona kama ni upepo.
Hivi viumbe kweli wazito
 
Shida ni moja huyo mwanaume kabla ya ndoa alikuaje?
Mwanamke mwingine keshapitia miti mia kidogo,anakuja kukutana na baba wa watu kibamia watawezana kweli?
..lakini kwa upande wa pili hicho kibamia ni size ya mwanamke mwingine..
Mwisho wa siku ndo kuwaza kusagana badala ya kufanya mazoezi ya kubana misuli..
Unaweza ukawa tatizo na uishie kuhukumu wengine.
 
Kusagana ni tabia mbaya sana haina tofauti na kufanya mapenzi kinyume cha maumbile..nadhani dunia ndo inaishia..yote yalitabiriwa..na bible
 
Kweli ni ngumu kumridhisha mwanamke. Ukiwa umechoka, unamawazo ya kutafuta hela na hutaki kufanya, unaambiwa una nyumba ndogo. Ukiwa na umri mkubwa uwezo ukipungua yeye anatafuta kijana. Ukimpa mapenzi ya kutosha anatafuta mwenye pesa nyingi za kuchezea na wake za watu. Ukimpa pesa za kutosha atatafuta msagaji wa kumhonga ili amsage. Wengine walishazoea kugeuzwa sasa kwenye ndoa anaogopa kuonyesha kutaka huko kwa hiyo atatafuta wa kumgeuza upande wa pili usiokubalika toka Mungu atuumbe. Hiyo yote ni shetani kazini, bila kuwa na hofu ya Mungu hakuna kuridhika kamwe na shetani ataendelea kumtawala mtu mpaka mwisho amuue.
 

vibamia vinasingiziwa sana, wanawake wengine ni mapepo tu yanawaongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…