Baba Wille
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 548
- 551
Acha wafanye yao, nijichoshe mabao3 daily na kazi yangu kubeba mizigo unadhani nitawezaje? Na nikishindwa kazini hamna chapaa unadhani atakulaje maisha gharama si atatoka kisingizio siachi hela ya matumizi nataka kutunzwa km jike! Fanya vyovyote kutoka atatoka na lawama palepale! We kausha acha asagwe akichoka ataacha..