Kusagana ni tabia mbaya sana haina tofauti na kufanya mapenzi kinyume cha maumbile..nadhani dunia ndo inaishia..yote yalitabiriwa..na bible
Hahaha halafu sembe unashushia eti na azam kolaMwanaume ale sembe tangu utoto, halafu aweze kazi?Tuliokula/tunaokula Dona, mtama, makande, matunda na vyakula vingine vya asili, "bao za kutosha" poleni !
jamani mie hao sii wanialike nione hiyo show
Kweli ni ngumu kumridhisha mwanamke. Ukiwa umechoka, unamawazo ya kutafuta hela na hutaki kufanya, unaambiwa una nyumba ndogo. Ukiwa na umri mkubwa uwezo ukipungua yeye anatafuta kijana. Ukimpa mapenzi ya kutosha anatafuta mwenye pesa nyingi za kuchezea na wake za watu. Ukimpa pesa za kutosha atatafuta msagaji wa kumhonga ili amsage. Wengine walishazoea kugeuzwa sasa kwenye ndoa anaogopa kuonyesha kutaka huko kwa hiyo atatafuta wa kumgeuza upande wa pili usiokubalika toka Mungu atuumbe. Hiyo yote ni shetani kazini, bila kuwa na hofu ya Mungu hakuna kuridhika kamwe na shetani ataendelea kumtawala mtu mpaka mwisho amuue.
yote hayo uliskia kwa bahati mbaya tu?!!!
Wasitafute visingizio hao wanawake.......ufuska tu ndo unawasumbua.
Wasitafute visingizio hao wanawake.......ufuska tu ndo unawasumbua.
Kah kwa mtindo huu wanawake cjui tutaenda kujib nn kwa mungu
Kah kwa mtindo huu wanawake cjui tutaenda kujib nn kwa mungu
Kwa lipi kubwa?
hata JF nikijiwe pia
Cio kwa lip kubwa sema kwa yap makubwa
Ni kijiwe cha GT ila si washakumbenga...
Nimezungumzia lipi maana hapa linazungumziwa moja la usagaji....ni ajabu kumuonea huruma anayetenda dhambi ya usagaji wakati wewe pia unazini..(nimetolea mfano tu sijamaanisha wewe huwa unazini)
Basi kumbe jib ulikua nalo y uniulze kwa zambi kubwa ipi na apa tunazungumzia usagaji