"Bora msagaji kuliko mume wangu"

"Bora msagaji kuliko mume wangu"

Mwanaume ale sembe tangu utoto, halafu aweze kazi?Tuliokula/tunaokula Dona, mtama, makande, matunda na vyakula vingine vya asili, "bao za kutosha" poleni !
 
Kweli ni ngumu kumridhisha mwanamke. Ukiwa umechoka, unamawazo ya kutafuta hela na hutaki kufanya, unaambiwa una nyumba ndogo. Ukiwa na umri mkubwa uwezo ukipungua yeye anatafuta kijana. Ukimpa mapenzi ya kutosha anatafuta mwenye pesa nyingi za kuchezea na wake za watu. Ukimpa pesa za kutosha atatafuta msagaji wa kumhonga ili amsage. Wengine walishazoea kugeuzwa sasa kwenye ndoa anaogopa kuonyesha kutaka huko kwa hiyo atatafuta wa kumgeuza upande wa pili usiokubalika toka Mungu atuumbe. Hiyo yote ni shetani kazini, bila kuwa na hofu ya Mungu hakuna kuridhika kamwe na shetani ataendelea kumtawala mtu mpaka mwisho amuue.

ndo mana yule mdada aliimba "ni mungu na shetani, wanafanya kampeni"
 
Cio kwa lip kubwa sema kwa yap makubwa

Nimezungumzia lipi maana hapa linazungumziwa moja la usagaji....ni ajabu kumuonea huruma anayetenda dhambi ya usagaji wakati wewe pia unazini..(nimetolea mfano tu sijamaanisha wewe huwa unazini)
 
Nimezungumzia lipi maana hapa linazungumziwa moja la usagaji....ni ajabu kumuonea huruma anayetenda dhambi ya usagaji wakati wewe pia unazini..(nimetolea mfano tu sijamaanisha wewe huwa unazini)

Basi kumbe jib ulikua nalo y uniulze kwa zambi kubwa ipi na apa tunazungumzia usagaji
 
Yote ufanyayo jua Mungu anakuona na ipo siku utalia ili akusamehe nayo siku hiyo yaja
 
Basi kumbe jib ulikua nalo y uniulze kwa zambi kubwa ipi na apa tunazungumzia usagaji

Umesema wanawake tutajibu nini....kwani watendao dhami ni wanawake tu? Wapo walevi,waongo,wazinzi,wala rushwa,washirikina..e.t.c. Hayo yote wanafanya wanawake tu? Lengo lako nadhani ilikuwa kwamba wanawake watajibu nini kwa hii dhambi ya usagaji sivyo?
 
Back
Top Bottom