"Bora msagaji kuliko mume wangu"

"Bora msagaji kuliko mume wangu"

Niujinga na upumbavu hakuna mwanamke mwenye uume sasa raha anaipata wapi? Tatizo wanawake wengine ujinga ndiyo umetawala wamefanya ujinga huu toka Shule sasa wanashindwa kuacha hakuna mwanamke anayemlizisha mwenzake zaidi yakuweka akili upande huo ningekuwa karibu ningewamwagia bia ibilisi wakubwa hao
Washindwe na walegee
 
Wamekutana, mhanga wa punyeto na usagaji hapo ni chenga tupu.
 
Tatizo la wanawake ni mmoja, wanahadithiani kwa kudanganyana habari za waume zao, wengine wanawaambia mume ananikunja balaa yaani kwa wiki Mara nne na zaidi wakati ukweli anamsitiri mumewe ila wenye akili ndogo wanajua ni kweli na kuanza kuongea hata mbele ya watu bila kuficha siri ya mumeo.Hawa viumbe akili zao ndogo sana hata kama vimesoma
 
Iili sasa balaa
 
Ebu huyo mwanamke asituharibie sifa wanaume wote
 
siku za mwisho gani,wakati tangu enzi za sodoma yapo?.
Ni tabia tu chafu za wanadamu hakuna ya siku za mwisho wala za mwanzo.
Huenda upo sawa,lakini enzi za sodoma hakuna ilipoandikwa wanawake wanawaomba waumezao wawafanyie mambo hayo,
Na kama wewe ni mwana mmu utakumbuka wapo waliowahi kuomba ushauri kuwa wapenzi wao wa kike wanaomba mchezo huo,
ndo maana nasema ni siku za mwisho maana siku za mwanzo haya hayakuwepo kama una ushahidi kwamba yalikuwepo tuwekee hapa.
 
Back
Top Bottom