tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,215
- Thread starter
-
- #141
Washindwe na walegeeNiujinga na upumbavu hakuna mwanamke mwenye uume sasa raha anaipata wapi? Tatizo wanawake wengine ujinga ndiyo umetawala wamefanya ujinga huu toka Shule sasa wanashindwa kuacha hakuna mwanamke anayemlizisha mwenzake zaidi yakuweka akili upande huo ningekuwa karibu ningewamwagia bia ibilisi wakubwa hao
Asaante kwa ushaur...ninyi wanaume kuleni protin,wanga isokobolewa na maji kwa wingi vinginevyo mtachapiwa sn na kuumbuka...
Inawezekana kwa kweliHuwezi jua labda ishakua expire date!!
Sent from my iPad Air using JamiiForums
AMA KWELI mankachara USIMLAUMU MKWEZI NAZI IMELIWA NA MWEZI
lkn ndio kazi ya zana zenyewe /vitumiwe kikamilifuTatizo co wanaume wadada wengi wamekubuhu! Papunchi imepitiwa na gegedeo za kila sample mpaka imeota sugu nani amsatisfy...! Waende zao huko tumechoka na ununda wao.
HahahahaWamekutana, mhanga wa punyeto na usagaji hapo ni chenga tupu.
Dunia imeisha eti. Zamani haya mambo yalikuwa ulaya ila siku hizi huku uswahilini ndio fashion
True mazoea hujenga tabia huyo ni msagwaji mzoefu.huyo hata kabla ya kuolewa unakuta alikuwa msagaji. Sijui tukimbilie wapi sasa
Hahahahaha et koroma haliwi nazi...Umenikumbusha mbali mkuu. Kulikua na shairi moja dingi wangu alikua analiimba
Usimlaumu mkwezi
Mpaka akakasirika
Karoma haliwi nazi
Hata mpaka likatika tika
lkn ndio kazi ya zana zenyewe /vitumiwe kikamilifu
utandawazi ati
Yaani huu utandawazi utatupelekea makubwa . Mungu atusaidie tu
Iili sasa balaaTatizo la wanawake ni mmoja, wanahadithiani kwa kudanganyana habari za waume zao, wengine wanawaambia mume ananikunja balaa yaani kwa wiki Mara nne na zaidi wakati ukweli anamsitiri mumewe ila wenye akili ndogo wanajua ni kweli na kuanza kuongea hata mbele ya watu bila kuficha siri ya mumeo.Hawa viumbe akili zao ndogo sana hata kama vimesoma
Ebu huyo mwanamke asituharibie sifa wanaume wote
Huenda upo sawa,lakini enzi za sodoma hakuna ilipoandikwa wanawake wanawaomba waumezao wawafanyie mambo hayo,siku za mwisho gani,wakati tangu enzi za sodoma yapo?.
Ni tabia tu chafu za wanadamu hakuna ya siku za mwisho wala za mwanzo.