Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Nashangaa kuona watu wanakesha kutwa usiku kucha kupiga kelele eti wanaomba na kusifu, ni upumbavu wa hali ya juu kushobokea watu waliowatesa ndugu zetu.
Vilevile, nashangaa watu wanashinda msikitini kutwa nzima kupiga umbea na kusahau kwamba nao waliwachukua utumwani.
Pia, nashangaa hao waliotuletea hizo dini hawakeshi kama sisi, na wengine hata kanisani hawajui kabisa.
Hivi SISI TUNALAANIWA NA MABABU ZETU KWA KUWASALITI. Kinjikitile hakuwa Mkristo wala Mwislamu, King'ara hakuwa Mkristo wala Mwislamu, Mkwawa hakuwa Mkristo wala Mwislamu, na ni watu waliotupigania kwa nguvu zote hadi kufa kwao.
MABABU WAMETULAANI, HATUTAENDELEA HADI TUWARUDIE. KARIBU KOLELO.