Bora niamini Mizimu kama babu zetu, kuliko hawa waliowafanya watumwa babu zetu ni wanafiki tu

Bora niamini Mizimu kama babu zetu, kuliko hawa waliowafanya watumwa babu zetu ni wanafiki tu

Kila mtu ashinde mechi zake, binafsi sioni msaada wa mtu aliyekufa, kama huyo kinjekitile angekuwa wa maana asingekufa, angekuwepo Hadi leo kukupigania , YESU ni mwamba....
Hakika umenena vema,mungu akubariki Sana jina la yesu litukuzwe nafasi za mizimu na vifungo vyake havina nafasi kwa sasa..Ubarikiwe mtumishi
 
Kila mtu ashinde mechi zake, binafsi sioni msaada wa mtu aliyekufa, kama huyo kinjekitile angekuwa wa maana asingekufa, angekuwepo Hadi leo kukupigania , YESU ni mwamba....
Huko makanisani ni kutafuta kisichojulikana,
 
Na kinjikitile nae alifufuka yupo kama mzma huko iringa watu wanaomba na anajibu. UNAAMIN KUFUFUKA YESU AMBAE HUMJUI WALA UNANASABA NAE NA UNAKAZA FUVU LAKINI BABU ZAKO KNA KINGARA KINJE NA MKWAWA HAUWAAMINI WE UMEROGWA NA NANI?
Rafiki yangu mababu hata uko ulaya wapo je nao wanatukuzwa kama KRISTO? Wewe hujiulizi kwanini ni KRISTO YESU wala si babu mwingine?
 
Kila mtu ashinde mechi zake, binafsi sioni msaada wa mtu aliyekufa, kama huyo kinjekitile angekuwa wa maana asingekufa, angekuwepo Hadi leo kukupigania , YESU ni mwamba....
Mwamba aliyekufa kifo kibaya hivyo
 
Kila mtu ashinde mechi zake, binafsi sioni msaada wa mtu aliyekufa, kama huyo kinjekitile angekuwa wa maana asingekufa, angekuwepo Hadi leo kukupigania , YESU ni mwamba....
Mbona na huyo boya yesu aliuliwa msalabana akiwa kavishwa pampaz !!? kafa kiboya sana yesu
 
Rafiki yangu mababu hata uko ulaya wapo je nao wanatukuzwa kama KRISTO? Wewe hujiulizi kwanini ni KRISTO YESU wala si babu mwingine?
Yesu boya kama maboya wengine tu,angekuwa mjanja asingetaitiwa kiboya vile na kuvishwa pampz kisha wakampiga mijeredi
 
Ukimkili yeye kuwa ni muokozi, atakutoa kwenye kutegemea hao jamaa zako, ambao wanakupa masharti mpaka unakosa amani, Kwa YESU Kuna Raha✍️
Yesu wenyewe kauliwa kiboya boya tu, mjanja atatundikwa msalabani na kuvishwa diapers
Hiyo pampasi ya YESU KRISTO msalabani ikukumbushe kuwa wewe ni mdhambi acha kupotoka kaka yangu
Na sidhani kama hawakumPiddy mazayuni
 
Yesu boya kama maboya wengine tu,angekuwa mjanja asingetaitiwa kiboya vile na kuvishwa pampz kisha wakampiga mijeredi
Mijeledi ya YESU KRISTO ikukumbushe dhambi zako na ubaya wa dhambi ukapone na ukapate uzuri na upole wa moyo
 
🤣🤣🤣, sawa , but He is my savior.
Kama alikuwa mjanja yesu angejiokoa mwenyewe,mbona alianza kutoa kileo cha madeko eti mungu niepushe na kikombe hiki,mara eeh mungu wangu mbona umeniacha, wajanja wakamsaula na kumvisha pampazi mixer kumla
 
Kama alikuwa mjanja yesu angejiokoa mwenyewe,mbona alianza kutoa kileo cha madeko eti mungu niepushe na kikombe hiki,mara eeh mungu wangu mbona umeniacha,
😀😀😀, unayohaki ya kuhoji..
 
YANI MTU TIMAMU UNALETA MAANDIKO YA HAOHAO WALOMFANYA BABU YAKO MTUMWA KAMA UTETEZI WAKO KWAO, HV WAAFRICA TUTABADLIKA LINI? HV USHAWAH KUSIKIA NABII UKU INDIA? WATU WANAABUDU HADI NG'OMBE NA WANAMAENDELEO MAKUBWA,CHINA WAO BUDHAA,
 
Back
Top Bottom