Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Kila mtu ashinde mechi zake, binafsi sioni msaada wa mtu aliyekufa, kama huyo kinjekitile angekuwa wa maana asingekufa, angekuwepo Hadi leo kukupigania , YESU ni mwamba....Nashangaa kuona watu wanakesha kutwa usiku kucha kupiga kelele eti wanaomba na kusifu, ni upumbavu wa hali ya juu kushobokea watu waliowatesa ndugu zetu.
Vilevile, nashangaa watu wanashinda msikitini kutwa nzima kupiga umbea na kusahau kwamba nao waliwachukua utumwani.
Pia, nashangaa hao waliotuletea hizo dini hawakeshi kama sisi, na wengine hata kanisani hawajui kabisa.
Hivi SISI TUNALAANIWA NA MABABU ZETU KWA KUWASALITI. Kinjikitile hakuwa Mkristo wala Mwislamu, King'ara hakuwa Mkristo wala Mwislamu, Mkwawa hakuwa Mkristo wala Mwislamu, na ni watu waliotupigania kwa nguvu zote hadi kufa kwao.
MABABU WAMETULAANI, HATUTAENDELEA HADI TUWARUDIE. KARIBU KOLELO.
Yesu Alikufa (A)NDIO (B)HAPANA [ ]Kila mtu ashinde mechi zake, binafsi sioni msaada wa mtu aliyekufa, kama huyo kinjekitile angekuwa wa maana asingekufa, angekuwepo Hadi leo kukupigania , YESU ni mwamba....
Yupo haiYesu Alikufa (A)NDIO (B)HAPANA [ ]
Taratibu taratibu tuu tutaelewa woteeeeNashangaa kuona watu wanakesha kutwa usiku kucha kupiga kelele eti wanaomba na kusifu, ni upumbavu wa hali ya juu kushobokea watu waliowatesa ndugu zetu.
Vilevile, nashangaa watu wanashinda msikitini kutwa nzima kupiga umbea na kusahau kwamba nao waliwachukua utumwani.
Pia, nashangaa hao waliotuletea hizo dini hawakeshi kama sisi, na wengine hata kanisani hawajui kabisa.
Hivi SISI TUNALAANIWA NA MABABU ZETU KWA KUWASALITI. Kinjikitile hakuwa Mkristo wala Mwislamu, King'ara hakuwa Mkristo wala Mwislamu, Mkwawa hakuwa Mkristo wala Mwislamu, na ni watu waliotupigania kwa nguvu zote hadi kufa kwao.
MABABU WAMETULAANI, HATUTAENDELEA HADI TUWARUDIE. KARIBU KOLELO.
Yesu pia alikufa na kutundikwa msalabani.Kila mtu ashinde mechi zake, binafsi sioni msaada wa mtu aliyekufa, kama huyo kinjekitile angekuwa wa maana asingekufa, angekuwepo Hadi leo kukupigania , YESU ni mwamba....
Huyo yesu anakipi kipya?Kila mtu ashinde mechi zake, binafsi sioni msaada wa mtu aliyekufa, kama huyo kinjekitile angekuwa wa maana asingekufa, angekuwepo Hadi leo kukupigania , YESU ni mwamba....
Karibu tukusaidieHasira tu..unajua dawa za mizimu ww?
Na azikaribie pangaaYesu pia alikufa na kutundikwa msalabani.
Hakuna ushahidi wa kufufuka kwake.
Karibuni panga za mulumbu
ndo shuleni ulvokua unajbu maswali ya kuchagua hvo? sawa yupo hai! je yupo wap?Yupo hai
Ushahidi wa YESU KRISTO kufa na kutundikwa msalabani unauamin lakin ushahidi wa kufufuka huuamini? Bro are you serious?Yesu pia alikufa na kutundikwa msalabani.
Hakuna ushahidi wa kufufuka kwake.
Karibuni panga za mulumbu
YESU KRISTO alikufa mtumish siku ya tatu akafufuka mpaka mda huu yu HAIYesu Alikufa (A)NDIO (B)HAPANA [ ]
Huyu YESU KRISTO WA Nazareth kipya ambacho anacho ni uhai yu HAIHuyo yesu anakipi kipya?
Ngonjera zako peleka unapopeleka sadaka.Mtumish acha kutukana ni jambo baya sana kumwacha MWENYEZI MUNGU yeremia 2:19 acha kufuata mkumbo wa watu waliopotea kuwa makin kaka yangu
Shetani anawinda na ni mpotoshaji mkubwa usikubali kutekwa akili yako na ulimwengu dunia inapita kaka yangu UFUNUO 12 :17-18
Usiseme hivyo mtu wa MUNGU unakosea ni jambo jema sana kumkaribia YESU KRISTO,Mizimu ya kizungu =malaika
Mizimu ya kiarabu=majini
Mizimu ya kiafrika =mashetani
Aliyeturoga alikufa
Na kinjikitile nae alifufuka yupo kama mzma huko iringa watu wanaomba na anajibu. UNAAMIN KUFUFUKA YESU AMBAE HUMJUI WALA UNANASABA NAE NA UNAKAZA FUVU LAKINI BABU ZAKO KNA KINGARA KINJE NA MKWAWA HAUWAAMINI WE UMEROGWA NA NANI?YESU KRISTO alikufa mtumish siku ya tatu akafufuka mpaka mda huu yu HAI
Nashukuru dini haijanipumbaza akiliUsis
Usiseme hivyo mtu wa MUNGU unakosea ni jambo jema sana kumkaribia YESU KRISTO,
Unajua dunia ya Sasa imejaa uposhaji na upingaji
Usimruhusu roho huyo wa upingaji akutawale