Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
- Thread starter
-
- #21
Sawa mjomba wake YESUUsis
Usiseme hivyo mtu wa MUNGU unakosea ni jambo jema sana kumkaribia YESU KRISTO,
Unajua dunia ya Sasa imejaa uposhaji na upingaji
Usimruhusu roho huyo wa upingaji akutawale
Ukimkili yeye kuwa ni muokozi, atakutoa kwenye kutegemea hao jamaa zako, ambao wanakupa masharti mpaka unakosa amani, Kwa YESU Kuna Raha✍️Huyo yesu anakipi kipya?
Uko very timamu dadaaMizimu ya kizungu =malaika
Mizimu ya kiarabu=majini
Mizimu ya kiafrika =mashetani
Aliyeturoga alikufa
Hakika umenena vema,mungu akubariki Sana jina la yesu litukuzwe nafasi za mizimu na vifungo vyake havina nafasi kwa sasa..Ubarikiwe mtumishiKila mtu ashinde mechi zake, binafsi sioni msaada wa mtu aliyekufa, kama huyo kinjekitile angekuwa wa maana asingekufa, angekuwepo Hadi leo kukupigania , YESU ni mwamba....
Dada yangu dini haipo kwa ajili ya kupumbaza mtu bali KRISTO YESU ni njia ya uzima wa milele YOHANA 14:6Nashukuru dini haijanipumbaza akili
Huko makanisani ni kutafuta kisichojulikana,Kila mtu ashinde mechi zake, binafsi sioni msaada wa mtu aliyekufa, kama huyo kinjekitile angekuwa wa maana asingekufa, angekuwepo Hadi leo kukupigania , YESU ni mwamba....
Rafiki yangu mababu hata uko ulaya wapo je nao wanatukuzwa kama KRISTO? Wewe hujiulizi kwanini ni KRISTO YESU wala si babu mwingine?Na kinjikitile nae alifufuka yupo kama mzma huko iringa watu wanaomba na anajibu. UNAAMIN KUFUFUKA YESU AMBAE HUMJUI WALA UNANASABA NAE NA UNAKAZA FUVU LAKINI BABU ZAKO KNA KINGARA KINJE NA MKWAWA HAUWAAMINI WE UMEROGWA NA NANI?
Mwamba aliyekufa kifo kibaya hivyoKila mtu ashinde mechi zake, binafsi sioni msaada wa mtu aliyekufa, kama huyo kinjekitile angekuwa wa maana asingekufa, angekuwepo Hadi leo kukupigania , YESU ni mwamba....
Mbona na huyo boya yesu aliuliwa msalabana akiwa kavishwa pampaz !!? kafa kiboya sana yesuKila mtu ashinde mechi zake, binafsi sioni msaada wa mtu aliyekufa, kama huyo kinjekitile angekuwa wa maana asingekufa, angekuwepo Hadi leo kukupigania , YESU ni mwamba....
Bro achen upotovu maisha yasiwadanganye kaka zanguUko very timamu dadaa
Yesu boya kama maboya wengine tu,angekuwa mjanja asingetaitiwa kiboya vile na kuvishwa pampz kisha wakampiga mijerediRafiki yangu mababu hata uko ulaya wapo je nao wanatukuzwa kama KRISTO? Wewe hujiulizi kwanini ni KRISTO YESU wala si babu mwingine?
Hakuna Mungu.Bro achen upotovu maisha yasiwadanganye kaka zangu
Hiyo pampasi ya YESU KRISTO msalabani ikukumbushe kuwa wewe ni mdhambi acha kupotoka kaka yanguMbona na huyo boya yesu aliuliwa msalabana akiwa kavishwa pampaz !!? kafa kiboya sana yesu
Yesu wenyewe kauliwa kiboya boya tu, mjanja atatundikwa msalabani na kuvishwa diapersUkimkili yeye kuwa ni muokozi, atakutoa kwenye kutegemea hao jamaa zako, ambao wanakupa masharti mpaka unakosa amani, Kwa YESU Kuna Raha✍️
Na sidhani kama hawakumPiddy mazayuniHiyo pampasi ya YESU KRISTO msalabani ikukumbushe kuwa wewe ni mdhambi acha kupotoka kaka yangu
🤣🤣🤣, sawa , but He is my savior.Mbona na huyo boya yesu aliuliwa msalabana akiwa kavishwa pampaz !!? kafa kiboya sana yesu
Mijeledi ya YESU KRISTO ikukumbushe dhambi zako na ubaya wa dhambi ukapone na ukapate uzuri na upole wa moyoYesu boya kama maboya wengine tu,angekuwa mjanja asingetaitiwa kiboya vile na kuvishwa pampz kisha wakampiga mijeredi
Kama alikuwa mjanja yesu angejiokoa mwenyewe,mbona alianza kutoa kileo cha madeko eti mungu niepushe na kikombe hiki,mara eeh mungu wangu mbona umeniacha, wajanja wakamsaula na kumvisha pampazi mixer kumla🤣🤣🤣, sawa , but He is my savior.
Yesu alikuwa boya ndiomaana alipigwa bakora na wajanja na kutundikwa msalabaniMijeledi ya YESU KRISTO ikukumbushe dhambi zako na ubaya wa dhambi ukapone na ukapate uzuri na upole wa moyo
😀😀😀, unayohaki ya kuhoji..Kama alikuwa mjanja yesu angejiokoa mwenyewe,mbona alianza kutoa kileo cha madeko eti mungu niepushe na kikombe hiki,mara eeh mungu wangu mbona umeniacha,