Bora niamini Mizimu kama babu zetu, kuliko hawa waliowafanya watumwa babu zetu ni wanafiki tu

Yesu wenyewe kauliwa kiboya boya tu, mjanja atatundikwa msalabani na kuvishwa diapers

Na sidhani kama hawakumPiddy mazayuni
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Matusi na masimango waliomfanyia pale masalabani, yanachekesha, lakini yeye alisema tu hawajui walitendalo hivyo basi wasamehewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…