mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 1,065
- 365
Husninyo na mimi najiua.Duh! Pole kaka, inawezekana mungu amekuepusha na mambo mengi juu ya huyo mwanamke
Husninyo na mimi najiua.
aisee hiki kituko cha mwaka.... unataka kufa wakati mwenzio saa hii anakatikia gogo??Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.

Watu wanafumania wake zao walioishi nao kwa miaka mingi. bado hawajiui..we umevalisha pete tu unataka kujiua.Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.