Bora nife

Bora nife

Du! mwanaume kunywa sumu kwasababu ya Demu sijawahi sikia hiyo.
Nafikiri ulikuwa bado ujakuwa kiakili ulikurupuka kufanya maamuzi ya papara bila kumfanyia uchunguzi au uliongozwa sura ya nje.
 
kama ni mimi ningekuwa nishajiua siku nyingi kabla hata ya kuja humu kuomba ushauri mke,mchumba wanauma!!!
 
Hivi wewe hujafaga tu? au ulikuwa unatutesti?
 
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.
aisee hiki kituko cha mwaka.... unataka kufa wakati mwenzio saa hii anakatikia gogo??

tafuta mwingine nawe ufaidi, mwanaFA alisema ukimegewa na wewe tafuta mnyonge ummegee
 
pole we .........sasa wataka kujiua koz anajulikaana na familia na umemvisha pete ya garama sio kwamba ww unampenda sana
 
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.

Pole sana Mkuu. Maisha yako yana thamani kubwa sana hapa duniani na Wanawake wapo wengi sana na utampata mwingine atakayekupenda kwa mapenzi ya kweli kabisa siyo kama huyu aliyekuwa anakuzuga tu na pia ushukuru kwamba limetokea kabla ya kufunga ndoa maana si ajabu jamaa angeendelea kufaidi na hivyo kuwepo uwezekano wa kuzaliwa watoto ambao si wako.
 
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.

NiPM nikushauri sumu nzuri ambayo unakufa bila maumivu!
 
Kwa nini ufe? Unazijua adhabu za kaburi kwa mtu aliyejiua? Usijiue banaaaaaa baki hapa hapa. Fanya shughuli zako, furahia maisha. Hukuzaliwa kwa ajili yake, unaishi kwa ajili yako mwenyewe. Njoo huku tucheze kidali poooooo
 
pole sana imm sasa huyu ndiye yule x au ni yule mpya ndiye kakutosa.una ukumbuka ule wimbo unaosema kuachwa ni shughuli pevu? unajua nyie wanaume mkiachwa mnatishia kujiua je? cc wanawake tukiachwa tutishie kucheka au?? pole ndugu ndo ukubwa huo
 
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.

Ungekuwa jirani yangu ningekulamba vibao viwili vya haraka ili uamke usingizini. Wewe badala ya kumshukuru Mungu kuwa amekuepusha na balaa unapanga kujiua? Hebu fikiria ungegundua kuwa huyo bibiye anagawa kwa jamaa baada ya wewe kuwa umeshafunga naye ndoa unadhani ingekuwaje? Wewe chukulia kuwa ni sehemu ya mitihani ya maisha. Nakushauri ufanye vitu vitatu: (i) learn your lessons from the experience, (ii) collect yourself and forget about dying and (iii) move on. Ni ngumu lakini inawezekana. Ukijiua unampa kiburi bure huyo mwanamke atajiona wa thamani kubwa mpaka ameua mtu kwa ajili yake.
 
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.

Pole Imma, kama ile pete inakuuma sana nenda kamnyang'anye haraka sana!

Ila unajua demu huyo mjanja sana hapo kajipatia zake asset ya kamtaji wa fasta
 
pole.... thamani ya huyo binti haiwezi kuwa sawa na uhai wako.
mmekutana mkiwa wote wakubwa, iweje ujiue kwa ajili yake? kachukue pete yako kisha achana nae, utapata mwingine.
 
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.

...kwakuwa yeye anathamani kuliko maisha yako?
ulizaliwa nae? wacha kujitia hamnazo wewe...

mama'ko kaibeba mimba miezi tisa, kisha akajifungua kwa uchungu
kwa kuthamini uhai wako... Grow up!
 
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.
Watu wanafumania wake zao walioishi nao kwa miaka mingi. bado hawajiui..we umevalisha pete tu unataka kujiua.
sijaelewa unataka kujiua kwa nn, Au kwa ajili ya pete ya gharama?
 
Back
Top Bottom