Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Kwa upole kaichukue pete yako uje mvalisha mwingine umpendaye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samaki wengi Mferejini!
atakua keshakufa....NiPM nikushauri sumu nzuri ambayo unakufa bila maumivu!
pole...... wataka kujiua coz anafahamika na familia yako..............amedhihirisha wewe hukuwa chaguo lake........inauma lakini yatapita unatakiwa kusonga mbele...............ukijiua ndio utakuwa umempata achan na mawazo machafu
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.

duh,bebii hata kumpa faraja kidogo?kosa liko wapi emma si kaolewa na ampendae bwanaaa?