Bora ningemmega ona sasa!!

inawezekana alikuwa na boyfriend au mchumba wake hapo, kaogopa kuharibu kama ulivyoogopa wewe.
 
Ulichelewa sana ungeingiza hata kichwa tu angekukumbuka milele
 
Umenena..aendelee kulinda ndoa yake ndicho kilichobaki.



 
kwa kumchukulia km 2.mdogo wangu sikuona hiyana kumsaidia vi-muda vya maongezi.
Hivi jamani 1.kama ningemmega haya yote yangetokea c 3.angekuwa na ka-sense of respect
Hebu unganisha nyekundu 1+2...ungekuwa hayawani.
Nyekundu 3, unataka uheshimwe kwa kumega? Inaonesha tangu mwanzo ulikuwa na nia mbaya japo kidogo, vyenginevyo usingejuta kwa nini hukummega. Kinyume cha hivyo, ulifanya vizuri kukata mzizi wa fitina mapema, hasa ukitilia maanani una familia yako.
 

Alikuhitaji wakati muafaka ukaruka kimanga,sasa yeye anaweza kukupa vocha na lunch kama ulivyofanya miaka ilee...pole.
 
Kwani alipokuchunia alikumegua kipisi cha pua yako? Utamega wangapi sasa kwa sababu unaogopa kuchuniwa? Mpotezee, hakupi pumzi!
 
imekula kwako, kwa nini unawaza kumega nje while upo kwenye ndoa?
 

mzee aya mambo huwa watu wengi wanayakosea mmoja wapo nia ww, awa binaadamu unatakiwa utake action mapema mno,mi spendi zarai kabisa apo ujue mle ndani kuna jamaa yake na alikua some were,na najua baada ya wee kuondoka jamaa atakua aliuliza yule ulikua unaongea mda ule ni nani?demu atasema ahh ni mpuuzi mmoja tu cjui kanifanananisha vile, umeona kazi iyo mzee?
 
Bahati kama hizi hivi kwanini hazinidondokei? Ama kwa hakika kwene miti mingi hakuna wajenzi..
 
kama una namba zake za SIMU,mtuangie alafu akileta umbayuwayu mpotezee,we si unamke bana.
 
Shukurani ya punda mateke au hujui hilo.... Ridhika na MUNGU alichokupa we una mke na familia mkuu
 

afu ubaya bahati hizo hazitokei ukiwa hujaoa.. Ukioa
 

Asante kwa pongezi, ila hakuwa rafiki km rafiki bali nilimchukulia kama mdogo wangu. Mambo ya vocha hata huku maofisini yapo kwa hiyo kumpa vocha haikuwa kitu cha ajabu/kikubwa kwangu.
 
mkuu umesoma seminary nn?teenager unamwachia hujui kubadilisha mboga nn?watamu hao balaa!eti unamsaidia kwani yy yatima

Sijasoma seminary, teenager anatakiwa ampate bachelor ndo watawezana, watu wenye familia km mim, ni sawa na ule msemo ukicheza na mbwa utaingia naye....
Hawajui kusoma mazingira anaweza akakuabisha mbele ya waifu, wengi wanakuwa wanaongozwa zaidi na msukumo rika wenzie wakimjaza ujinga lazima akucheulie!.
 
kwaniukimmega mwanamke ndo atakuwaanakuheshimu milele

Mpaka kufikia kumegena ina maana kila mmoja kwa namna moja ama nyingine alivutiwa na mwenzie, hivyo kumdharau m2 uliyemkabidhi mwili wako ni sawa na kujidharau ww uliyejitoa kwake, kwa muungwana heshima itakuwepo daima.
 
:wink2: Jiwe kwa jiwe hata wewe siku akikatiza anga zako mfanyizie uone yeye itakvyo mtachi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…