Bora nipigwe mawe lakini sitarudia tena kufanya mapenzi na wanawake wavaa mawigi

Lakini hao ndio mnawaona wazuri,hapo awe kajichubua mpaka kawa wa njano kama papai,aweke makope mpaka jicho linavimba na makucha kama nsyuka.
Ndo Kisu huyo pambana na huba lako.
Mbona hawaolewi acha kujoshukia achana na mawigi
 
Kuvaa wigi ni ushamba wa hali ya juu maanina utavaaje miwigi bwana wewe mwanamke pumbafuuu

Huna chura, huna hips, huna chuchu nzuri halafu unakimbizana na mawigi ni ushamba zaidi ya kijiji,

Mwanamke fuga nywele zako vzr ziote safisha nk utaona zinavyovutia

Ni mara mia anayesuka rasta maana angalau zinanuka ila sio sana kama wigi

Mwanamke anayevaa wigi ukitaka kumuumbua kama umempakiza kwenye gari fungua vioo utaona linabebwa na upepo

Acheni ushamba bwana halafu wavaa mawigi wengi hawakumbuki kunyoa mav... zi utakuta harufu ya wigi ni sawa na harufu ya papuchi aaah

Mwanamke mzuri utamwona tu hana muda na minywele ya wafu huko India
 
Umenikumbusha one day, dem ana muwigi kama PeterTosh, then ndio akanituku, dadeki mbona nilishindwa, lakini alijua na kuufunika muwigi wake, hamu ilikata nilimpa kamoja tu wakati nilikuwa nimejipanga kumpa vitano[emoji38] [emoji38]
Kweli kabisa mawigi yananuka[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Nilishaingiaga na demu guest, ile kuva wigi nilipiga chafya 11 bila kupumzika mpk alipolifunika mwenyewe.
Lile wigi lilikua linatema, kanakwamba likiwekwa kushoto alaf kulia kukawa na chemba ya choo, utageuzia pua kweny chemba
yaani hapa nitaona watu wote na class zao, huwezi kunambia uko na class ya juu then uje uchukue wenye kunuka mawigi, that means hao wanuka mawigi ndo class yako
if not wachukue uwabadilisha wewe kwa kuwawezesha ili wawe wanabadilisha hizo wigi

teh teh
watu mnafikiri mnachamba watu kumbe mnajionyeshe mlivyo
 
Nilishaingiaga na demu guest, ile kuva wigi nilipiga chafya 11 bila kupumzika mpk alipolifunika mwenyewe.
Lile wigi lilikua linatema, kanakwamba likiwekwa kushoto alaf kulia kukawa na chemba ya choo, utageuzia pua kweny chemba
Hahaaaa mkuu kumbe na wewe ishawahi kukutokea hii

Kuna demu nilikutana naye alinichosha aisee yaan alikuwa ananuka kwapa na wigi linanuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…