jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
naona kama zina akili sawa nikahisi ni mtu mmojaUnajua kufananisha ID
nilitaka wanijibu tu ila mmoja ameanza kuruka viunzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona kama zina akili sawa nikahisi ni mtu mmojaUnajua kufananisha ID
Mchagua km si mtmbj
Hapana mkuu leo sitaki vitu vigumuHauhitaji ushahidi mkuu?
Mkuu nahis ww ni boy na cyo mwanaume, yan mapenz yako kuyaleta kwenye mitandao itasaidia nn, kama kweli ulitaka mrekebisha ungetakiwa umwambie huko chumban kua sipendelei mawig napenda Nywele zako natural, huko ndiko kutaka kuendana na mpenz wako, sappose huyo demu wako yuko humu atajisikiaje, cjui hajui mapenz, stail anajua moja kwan kuna MTU alizaliwa akijua hayo mapenz, ww ungekua unabusara ungemfundisha hizo stail na c kuja mwanika hapa, acha kumzalilisha huyo Dada, kila anahobi yake ni ww kumbadilisha na cyo kuja mwanika hapa mana haujamsaidia zaid utaendelea isaka papuch na kumsifia uongo wakat moyon unayako, naona kila MTU anachokikuta kwa mpenz wake aje anike hapa, kaz yetu c kusoma nakukoment.Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo
Kuna vitu vingine wadada hufanya wakizan ni sifa kumbe ni ujinga wa hali ya juu sana. Wanawake wavaa mawigi wanawaabisha sana wanawake wenzao
KWANZA MAWIGI YAO YANANUKA SANA
PILI HAWAJUI MAPENZI
Hivi mwanamke anayevua nywele anaaziacha kitandani ndo anaenda kuoga unazani ana akili kweli huyo?
Sasa bana siku moja kaja msichana mmoja gheto kavaa wigi nikapita mamboz fresh sasa nikatoka kidogo nikamuletee supu apige kwa ajili ya kupunguza njaa na uchovu, sasa wakati ule narudi nakuta mtu kichwani ni KIPARANGOTO aisee nikashituka kidogo nikazani jini hili Yesu wangu niokoe, nywele kapeleka wapi huyu dada kupiga jicho kitandani nikakutana na ni lile wigi ndo nikatulia kidogo hapo akanambia nataka kwenda kuoga ndo ninywe chai, aisee nilishangaa sana kwahiyo ukitaka kwenda kuoga unaacha nywele kitandani ndo unaenda kuoga.
Hawa watu mapenzi hawajui ukimwambia KALIA MSUMURI WA MOTO yaani hawakaliagi vizuri wanakaa lakini kidogo tu jamani unaniumiza sijui mimi siwezi staili hii baby badilisha nyingine.
Yaani wao staili wanayoweza ni ile ya kususia ya mbuzi kagoma kwenda ukitaka hiyo mbona utachoka mwenyewe mkuu.
Ni hayo tu
Lakini mimi hata kama nikipopolewa mawe sitarudia tena kufanya mapenzi na watu hawa.
LONDON BABY
Kwaiyo ww huo msumari anaukalia na kichwa au maana cjakuelewaAmani iwe nanyi wapendwa katika bwana