Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #81
Baki hivyo hivyo achana na miwigi WangMie nilidhani ni ushamba kumbe kuna wengine kama mie,juu ya kua mwanamke ila wig hua halinifurahishi,nilikua napenda sana kusuka rasta ila nyewele zangu mara zinafumka,na mara ya mwisho nikaenda kusuka kwa Wamasai
walivyonifanyia vituka niliapa sitosuka tena rashta wala nini ntabakia na hizi hizi zangu..