Bora nipigwe mawe lakini sitarudia tena kufanya mapenzi na wanawake wavaa mawigi

Bora nipigwe mawe lakini sitarudia tena kufanya mapenzi na wanawake wavaa mawigi

Lakini hao ndio mnawaona wazuri,hapo awe kajichubua mpaka kawa wa njano kama papai,aweke makope mpaka jicho linavimba na makucha kama nsyuka.
Ndo Kisu huyo pambana na huba lako.
Nimeishia kucheka tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hujanidanganya, nitumie mpesa faster ili by ijumaa jioni nipo getho
haukawii kuniambia waleti uliacha kazini wewe

teh teh
Poa ngoja nitume momy si namba ni hii hii tunayowasiliana au nyingine
 
Yaani akivua wigi waweza sema nani alikuchagulia maana libichwa unakuta bayaa bonge la chogo utadhani mpasua mbao dah wiki halikuwa wahi msitiri mwanamke akaonekana mzuri asilani siiiiiiipendi!
 
Si wote. Wengine mawigi yao wanajitahiji usafi hivyo yako vizuri
 
yaani hapa nitaona watu wote na class zao, huwezi kunambia uko na class ya juu then uje uchukue wenye kunuka mawigi, that means hao wanuka mawigi ndo class yako
if not wachukue uwabadilisha wewe kwa kuwawezesha ili wawe wanabadilisha hizo wigi

teh teh
watu mnafikiri mnachamba watu kumbe mnajionyeshe mlivyo
Same thing nilikua nakiwaza! haiwezekani kabisa uwe unajielewa upate mtu mwenye wig mnuko hivi haya majamaa yanajifunza mapenzi sijui yanabeba mademu wa wap! mwanamke matunzo buana wataendelea kubeba hizo class mnuko zao kama hawajui kujiongeza mfyuu zao.
 
Hujui ukisemacho sister
 
Back
Top Bottom