Bora nipigwe mawe lakini sitarudia tena kufanya mapenzi na wanawake wavaa mawigi

Bora nipigwe mawe lakini sitarudia tena kufanya mapenzi na wanawake wavaa mawigi

61cee5ce19a7489c1848820798a66c41.jpg


Wigi langu ni Human hair ,hunitaki pia?[emoji13] [emoji2]
Wewe nakutaka na ninakupenda asali wa moyo wangu


Wewe tena kwanza uko msafi wigi lako halinuki

Nakutaka bwana kipenz
 
Nigope kipi hapo mkuu
Uogope Kipi? Hizo ndo Nguvu zao kama huna uwezo wa kuzihimili watakuuzia 'gazeti' tu mtaani.
Raha na Utamu huja ukizipambanisha: Nguvu za Kiume vs Nguvu za Kike = Jibu unalo.
 
Kwa kweli wavaa mawigi ni wachafu sana aisee. Wanatisha mno.
 
jje's nakukumbusha tu kuwa Uchafu hauna Class ni tabia. Whether uko Class ya juu ya kati au ya chini kama tabia yako ni uchafu tu utakuwa mchafu. Nawapo wa class ya chini kabisa ila ni wasafi balaa. Akianza kusugua kisigino hapo unaweza dhani nyama yote ya mguu ataiacha pale kwenye jiwe la kusugulia.
asante kwa kunikumbusha nimefurahi sana
ila kuna tabia na hali ya maisha tukubaliane yote
pili, utakavyomkuta mwenzako kama umemkubali ni rahisi kumbadilisha na akabadilika kama alikuwa mchafu akawa msafi
 
ukiona hivyo umezoea kuchukua machangudoa ndo huwa wanabingirika kama pia ila watulivu wengi staili hawazijui isitoshe hatupendi kuchoshwa
 
Hizo ni nyele tu hajaenda kuoga akarudi ukakuta make up imeondoka kabaki na sura yake y kuzaliwa hapo ndio utajua umuhimu wa CHAPUTA
 
Nilishaingiaga na demu guest, ile kuva wigi nilipiga chafya 11 bila kupumzika mpk alipolifunika mwenyewe.
Lile wigi lilikua linatema, kanakwamba likiwekwa kushoto alaf kulia kukawa na chemba ya choo, utageuzia pua kweny chemba
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo

Kuna vitu vingine wadada hufanya wakizan ni sifa kumbe ni ujinga wa hali ya juu sana. Wanawake wavaa mawigi wanawaabisha sana wanawake wenzao

KWANZA MAWIGI YAO YANANUKA SANA


PILI HAWAJUI MAPENZI

Hivi mwanamke anayevua nywele anaaziacha kitandani ndo anaenda kuoga unazani ana akili kweli huyo?

Sasa bana siku moja kaja msichana mmoja gheto kavaa wigi nikapita mamboz fresh sasa nikatoka kidogo nikamuletee supu apige kwa ajili ya kupunguza njaa na uchovu, sasa wakati ule narudi nakuta mtu kichwani ni KIPARANGOTO aisee nikashituka kidogo nikazani jini hili Yesu wangu niokoe, nywele kapeleka wapi huyu dada kupiga jicho kitandani nikakutana na ni lile wigi ndo nikatulia kidogo hapo akanambia nataka kwenda kuoga ndo ninywe chai, aisee nilishangaa sana kwahiyo ukitaka kwenda kuoga unaacha nywele kitandani ndo unaenda kuoga.

Hawa watu mapenzi hawajui ukimwambia KALIA MSUMURI WA MOTO yaani hawakaliagi vizuri wanakaa lakini kidogo tu jamani unaniumiza sijui mimi siwezi staili hii baby badilisha nyingine.

Yaani wao staili wanayoweza ni ile ya kususia ya mbuzi kagoma kwenda ukitaka hiyo mbona utachoka mwenyewe mkuu.

Ni hayo tu

Lakini mimi hata kama nikipopolewa mawe sitarudia tena kufanya mapenzi na watu hawa.

LONDON BABY
penda sana wasabato,mi huwa majiendea tu kwa wasabato sitaki shida na mtu wale watu daaaaah acha tu ni kuku wa kienyeji kweli
 
Mimi mwanamke mwenye nywele bandia, kope bandia, nyusi bandia, ponda lakufa mtu, marangi midomoni, sikio katoga Mara 5, tatuu, kucha bandia, huwa nawaita kuku wa kichina, hawana ladha, ukimpukutisha kila kitu anabaki kama skeleton. Mbali kabisa nami.
Kingine demu mweupe au maji ya kunde lakini papuchi black kama kapaka kiwi! Hamu inaisha hapohapo.
Haaaa et kama kapaka kiwi
 
Back
Top Bottom