sambenet
Member
- Mar 5, 2011
- 47
- 7
Habari zenu Great Thinkers, Kama mtakumbuka niliwahi kuposti thread moja hapa tarehe 21 october 2011 ili nipatiwe ushauri mada ilikuwa https://www.jamiiforums.com/mahusia...3-nipo-njia-panda-naomba-msaada-kwa-hili.html.
Kiufupi ni kwamba nimeachana na mchumba wangu rasmi (kaniacha). na kutokana na machungu niliyonayo nahisi sihitaji mtu kwenye maisha yangu, Nimegundua hakuna kitu Kinoitwa mapenzi siku hizi, ingawa msichana huyu nilimpenda kuliko kitu chochote na kujitahidi kumsaidia na kwa hali na mali.
wazee wangu na ndugu hawatanielewa, ila sina jinsi, na sitarudi Tanzania.
Maana najua wazee na ndugu watanishinikiza nioe, kitu ambacho nishakitoa moyoni mwangu.
Kilichobaki huku ni kazi na kuangalia maisha yangu tu.
Shukrani zangu za dhati kwa walionishauri wote.