Bora niwe mpweke

Bora niwe mpweke

We tafta ela, ukshakua na ela chances za kumchoma demu yoyote umtakaye inaongezeka exponentiari.usiskize hizi theory za mapenzi,sijui nini na nini.. haziexist ktk practical world. Ni hayo tu, with time utagundua kaka yako niko sahihi.
 
da mkuu hata mm imenitokea nishajaribu sasa nimefikisha waschana wanne nimeamua kutuliza ndaruga....ila ww endelea kutafta tena kwni bado idadi ni ndogo.ukifikisha watatu wote wanakufanyia hivyo njoo ttulize ndaluga.tubaki kuangalia wenye bahati.au kama umri bado unakuruhusu nenda upadri.......japo najua ni ngumu
 
mapenzi hayasuswi mwana!hiko ni kipindi cha mpito tu,nakuhakikishia utapata wa ukweli na utakuja kutuambia hapa!pumzika kwanza
 
njoo home bwana mbona mimi nimeachana na mtu na niko nae mtaa mmoja? Mapenzi hayalazimishwi wewe.
 
Pole sana mkuu, haya mapenzi ni matamu lakini upande mwingine wa shilingi ni mauaji.

Mshukuru Mungu kwa kukuonyesha mapema kuwa huyo bint sio wako, pia muombe sana Mungu akuonyeshe mwenza wako wa maisha.

If you are a christian, please sali ile sala ya novena huwa inajibu papo kwa papo. Usijitoe mhanga kisa kuachwa na mtu ambaye Mungu hakupenda uwe nae.

Kingine kigumu kwako ni kuwa upo ughaibuni so unakuwa mpweke double na kushindwa kuface hii situation. Jitahidi kujichanganya na watu au nenda sinema ili kupunguza mawazo.
 
Kuachwa inauma sana tena kwa yule uliye mpenda
 
Na hizo 'zana/kitendea kazi' chako kipige ganzi kabisa vinginevyo utaogopa kuwakaribisha wageni wako ndani kama unatumia chumba kimoja tu kwa hofu ya kuonekana mchafu kuwa haufui shuka zako
 
Nimekuelewa, Huyo msichana nilimpenda mwenyewe, na sio kwa ajili ya wazee wangu. ila wazee watahoji ikiwa sitataka kuoa na sio kuhoji huyu nilie breakup nae.

Jipe muda...utajajishangaa mwenyewe kujikuta umedondoka sehemu baada ya muda.
 
Unayosema hutokea kwa baadhi ya watu ila upande wangu naona ni tofauti. Kwani huyu niliedhani angekuwa mbadala pia amenionyesha ana shida ya vitu kutoka kwangu, nae ameshaanza kuomba vitu kadhaa kutoka kwangu wakati hata sijawa nae au kumtamkia kuhusu kuwa wapenzi. hio pekee inanipa jibu kuwa anataka kunitumia kama huyu wa mwanzu, It is so disappointing.
It seem no one care and accepting me for who I am.

kuna yule uliyekuwa unawasiliana nae na alikuwa rafiki yako wakati uko bongo...kama bado mnawasiliana nae basi rudisha vifaru kwa huyu ...unajua kaka wakati mwingine sisi wanaume huwa tunapenda usipopendeka...mtu anayekupenda kwa dhati yeye hakupendi kwa dhati na yule unayemchukulia poa ndo anakuwa na mapenzi ya dhati......hata mimi niliwahi kukumbwa na kitu kama hiki kilichokupata nashukuru Mungu taa nyekundi iliwaka mapema nikasimama pale pale na huo ndo ukaa mwiho wa safari yangu na yule dada....hata wewe hujachelewa..
 
Si suala la kulalama, na si rahisi kama unavyodhani kwamba hafla tu niwe na mwengine, Maswala haya ya mapenzi yanagusa mioyo si suala la kukurupuka tu. Huwezi kumpenda mtu hafla kwa kumuona tu. na mpaka aingie moyoni inachkua mda. Ndo maana sioni point ya kuhangaika kuwa na mwengine, kuna mengi ya kujifanyia kwenye maisha yangu.

Lakini hata hivyo thanks for your advise.

acha kulalama fanya recruitment fasta mbona vichwa vipo kibao
 
Usemayo ni kweli maana nikitoka job ni chumbani kwangu tu kwa hio huwa nawaza sana nifanye nini na najiona ni mpweke ila ndo sina la kufanya. Mji nnaokaa hakuna watanzania wenzangu ambao tutakuwa tuna share maisha yanayofanana ya bongo, kwa kweli nazidi kuwa mpweke zaidi.
Nimeanza kuwachukia kinadada, kwa kaweli sina haja nao maishani Mwangu.

Pole sana mkuu, haya mapenzi ni matamu lakini upande mwingine wa shilingi ni mauaji.

Mshukuru Mungu kwa kukuonyesha mapema kuwa huyo bint sio wako, pia muombe sana Mungu akuonyeshe mwenza wako wa maisha.

If you are a christian, please sali ile sala ya novena huwa inajibu papo kwa papo. Usijitoe mhanga kisa kuachwa na mtu ambaye Mungu hakupenda uwe nae.

Kingine kigumu kwako ni kuwa upo ughaibuni so unakuwa mpweke double na kushindwa kuface hii situation. Jitahidi kujichanganya na watu au nenda sinema ili kupunguza mawazo.
 
si vyema kurukaruka kwa kila mschana, mara leo huyu baada ya mda mwengine, hio itakuwa ni game mwishowe ni kuwa Player tu na kucheza na mioyo ya watu.

Nashkuru kwa ushauri pia.

da mkuu hata mm imenitokea nishajaribu sasa nimefikisha waschana wanne nimeamua kutuliza ndaruga....ila ww endelea kutafta tena kwni bado idadi ni ndogo.ukifikisha watatu wote wanakufanyia hivyo njoo ttulize ndaluga.tubaki kuangalia wenye bahati.au kama umri bado unakuruhusu nenda upadri.......japo najua ni ngumu
 
da kumbe mtu ukifikiri ni we mwenyewe umekumbwa kumbe wapo wengi.ila nimegundua ukiwa mwaminifu ni nadra sana kupata mwaminifu mwenzako labda Mungu ukupendelee pole mwaya ungekuwa cheater najua usingeumia hivyo ndo dunia yetu
 
Jipe muda...utajajishangaa mwenyewe kujikuta umedondoka sehemu baada ya muda.

in red, sehemu zenye pumziko la ukweli kuzipata maisha ya leo ni ishu....
uvumilivu unamuhusu, ila umri unakimbia nao...
 
Usemayo ni kweli mwaya, maana sijawahi hata kufikiria kucheat, kwani naona haileti maana katika mahusiano hasa ukizingatia mm ndo nilikuwa najiandaa kwa harusi na nilishamwombea Visa tayari, yaani hapa nasubiri majibu tu kutoka ubalozini, nafunga ndoa na kumleta huku.

Back
Top Bottom