Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Ni bora ili single tuongezeka ...
inabidi tuanzshe chama chetu sasa.
Nimekuelewa, Huyo msichana nilimpenda mwenyewe, na sio kwa ajili ya wazee wangu. ila wazee watahoji ikiwa sitataka kuoa na sio kuhoji huyu nilie breakup nae.
chama cha punyeto au?
kuna yule uliyekuwa unawasiliana nae na alikuwa rafiki yako wakati uko bongo...kama bado mnawasiliana nae basi rudisha vifaru kwa huyu ...unajua kaka wakati mwingine sisi wanaume huwa tunapenda usipopendeka...mtu anayekupenda kwa dhati yeye hakupendi kwa dhati na yule unayemchukulia poa ndo anakuwa na mapenzi ya dhati......hata mimi niliwahi kukumbwa na kitu kama hiki kilichokupata nashukuru Mungu taa nyekundi iliwaka mapema nikasimama pale pale na huo ndo ukaa mwiho wa safari yangu na yule dada....hata wewe hujachelewa..
acha kulalama fanya recruitment fasta mbona vichwa vipo kibao
Pole sana mkuu, haya mapenzi ni matamu lakini upande mwingine wa shilingi ni mauaji.
Mshukuru Mungu kwa kukuonyesha mapema kuwa huyo bint sio wako, pia muombe sana Mungu akuonyeshe mwenza wako wa maisha.
If you are a christian, please sali ile sala ya novena huwa inajibu papo kwa papo. Usijitoe mhanga kisa kuachwa na mtu ambaye Mungu hakupenda uwe nae.
Kingine kigumu kwako ni kuwa upo ughaibuni so unakuwa mpweke double na kushindwa kuface hii situation. Jitahidi kujichanganya na watu au nenda sinema ili kupunguza mawazo.
da mkuu hata mm imenitokea nishajaribu sasa nimefikisha waschana wanne nimeamua kutuliza ndaruga....ila ww endelea kutafta tena kwni bado idadi ni ndogo.ukifikisha watatu wote wanakufanyia hivyo njoo ttulize ndaluga.tubaki kuangalia wenye bahati.au kama umri bado unakuruhusu nenda upadri.......japo najua ni ngumu
chama cha punyeto au?
Jipe muda...utajajishangaa mwenyewe kujikuta umedondoka sehemu baada ya muda.
da kumbe mtu ukifikiri ni we mwenyewe umekumbwa kumbe wapo wengi.ila nimegundua ukiwa mwaminifu ni nadra sana kupata mwaminifu mwenzako labda Mungu ukupendelee pole mwaya ungekuwa cheater najua usingeumia hivyo ndo dunia yetu